Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania


Itakua una mimba changa.
 
ni kweli ila laana ya nape itawatafuna Dr we ni mnafiki mnatafuta vyeo kwa Ku force
 
2013 huu mwaka si umeshapita zamani sana??unafanya nn Hapa 2017!!!Ndio Maana unaongea pumba kwa sababu wakati wako umepita,go to hell.if you on the way there all the best
 
Unatuchosha na stori za mfalme juha.

Kwanza mlisema mitandao ya kijamii ni umbea nakushangaa unaandika kitu kirefu hivi wakati huu muda ungetosha kabisa ata ukalima bustani ya mboga mboga.
 
Unalitumikia tumbo lako huna lolote uliloliandika hapo.Njaa mbaya sana.
 
Wewe ni Dr. uliyekaa darasani au ni Dokta sampuli ya Dokta Manyaunyau?!

Kwamba, kumbe leo hii JPM akitangaza Dr. Salla ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, automatically Mwigulu Nchemba anakuwa Waziri Asiye na Wizara Maalumu?!!

Hivi kwa akili yako unaamini kabisa Daudi Albert Bashite alikuwa anapiga vita wauza mihadarati!!! Hivi kweli muuza mihadarati anaweza kumchukia Daudi Albert Bashite wakati amemsaidia?!

Look, ni kweli unauza mihadarati! Daudi Bashite anaenda kwenye live tv coverage na kutangaza unauza mihadarati na baada ya hapo anakuambia ukaripoti central 48 hours baadae!!

Ukishaenda kuripoti unafanyiwa mahojiano! Now tell me:

Wewe kama muuza mihadarati, ukihojiwa kuhusika utakubali kwamba unauza mihadarati?

Second, wakitoka hapo na kwenda kukufanyia upekuzi; watakukuta na ushahidi wowote wakati Daudi Bashite alishakuambia 48 hours ago kwamba watakuja kukufanyia upekuzi?
 
Nasema hivi, msitupangie mtu wa kumuunga mkono, tuna utashi wetu na maamuzi yetu binafsi, so msije hapa kujikomba komba kwanza nyie ndio mnaozidi kumchafua mkulu
 
Kumbe wewe ni mume wa mkuu wa mkoa wetu???
Sasa hapa unataka tujadiri nini wakati mnaweza kuyaongea ninyi wanne huko kwenu?(mtukufu+mke wa DB+wewe mume wa DB+na mwenyewe bwa DB)
 
Hovyoo kabisa... eti hata angepull the trigger... mwenyewe umejiona umeandika kweli..ujinga wako peleka koromije huko labda watakuelewa...mxiuuuuuuu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…