Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hivi unamjua Bashite? Hili ni jipu jipya toka Koromije tumbua hili jipu in Ney wa mitego
 
Ww ni mmojawapo wa wanaosapoti ujinga ktk nchi hii kwa kuficha ukweli na kugeuza kuwa uongo. Kwa maana hiyo unatumisha gwajima ni muuzaji wa madawa? Anyway Bashite anashindwa nn kukanusha tuhuma? Na je nape kufuata taratibu za utumishi wa umma ni kosa? Ni wapi Sheria inamruhusu mkuu wa mkoa kutumia madaraka yake kuvamia vituo usiku? Inaelekea na ww ni Msukuma.,
 
Kwaiyo inchi inaongozwa na two brothers magufuli na makonda. Ukimgusa makonda hata kama anajinai, hata uwe waziri unaondoka
 
Kwaiyo inchi inaongozwa na two brothers magufuli na makonda. Ukimgusa makonda hata kama anajinai, hata uwe waziri unaondoka
 
Nikuambie tuu kuwa umepoteza muda wako kufahamisha jamii kuwa u mjinga na huzijui propaganda ingawa unataka kuaminisha watu wakuamini.
 
Hovyoo kabisa... eti hata angepull the trigger... mwenyewe umejiona umeandika kweli..ujinga wako peleka koromije huko labda watakuelewa...mxiuuuuuuu!!!!
Wapinzani wameumizwa sana. Sioni tatizo kama CCM wakikumbwa na kadhia kama hiyo. Wachapane Tu.

CCM ikiwa imara wananchi tutaumizwa.

Nipo mitaani, Namtafuta Ben saanane...
 
D

CCTV wauza unga walikuwa wanacheza movie starring makonda mwenyewe..people are not that daft...na hatusahau hilo tukio. Wauza unga wangapi kati ya the 3 lists wapo jela kwa sasa hivi. Mwizi unamwaambia kesho jiwasirishe kittuo cha polisi? wapi na wapi? doesnt that speak of lack of intelligence? Ushahidi utaupataje kwa style hiyo? lets use our brains, tanzania ya sasa ni ya wasomi sio ya kale.. mmeshindwa kuboresha elimu ili muendeleze ukandamizaji wa raia ila Mungu kasimama na tanzania. No more! no more! Explain that video and we move forward wafanyakazi wa clouds deserve the same protection as any other citizens. CCM wakati wa kupumbaza watu imefikia mwisho. 'Mjinga akierevuka mwerevu yupo matatani' this is what is hitting you now. Mungu kawafungua watu macho, wameona uozo wa viongozi wanao tetea uanachama zaida ya haki ya raia waliopa kuwaprotect. God continue taking control...no more for injustice! no more for self serving leaders!
 
Kumbe wewe ni mume wa mkuu wa mkoa wetu???
Sasa hapa unataka tujadiri nini wakati mnaweza kuyaongea ninyi wanne huko kwenu?(mtukufu+mke wa DB+wewe mume wa DB+na mwenyewe bwa DB)
Kwakua nimeshamwandikia Talaka.
 
Hawa ndio maaana ni bora la saba kuliko hawa ma dr au wasomi wengi fake hawana jipya wanafikiria kwa kutumia matumboz
 
Nimekupenda mtoa mada! Umetoa rai nzur sana mkuu
 
Kaniambia embu fungulia ITV sasa hivi uone wanachoongelea, dah nikapigwa na bumbu wazi, yaani sasa Vijijini umeme wa kumwaga, kweli tumetoka mbali, tangu enzi za kusoma Magazeti baada ya Mwezi na leo unawasha taa kwa swichi kijijini? Duh!

Nikamuuliza siku hizi mna Umeme? Akaniambia ndiyo kuna umeme wa CCM kama wenyewe wanavyoita huko kwao ...
 
Kaniambia embu fungulia ITV sasa hivi uone wanachoongelea, dah nikapigwa na bumbu wazi, yaani sasa Vijijini umeme wa kumwaga, kweli tumetoka mbali, tangu enzi za kusoma Magazeti baada ya Mwezi na leo unawasha taa kwa swichi kijijini? Duh!
Nonsense!
 
kwahiyo? ina maana ccm isingekuwepo huo umeme usingefika?
 
Pongezi kwa magufuli aisee
Toka zako huko, miradi ya rural electrification (REA) imeanza tangu kipindi cha kwanza cha KIKWETE hapo ilipo inaendelea tu, kimsingi bwana wa Bashite hana jipya na hii miradi inaweza kusimama kwa hali ilivyo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…