Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

misitu ya beni huko congo.
Hapo sawa
 
Kuua,kununua wapinzani,kukatanza mikutano ya kisiasa,kulipa visasi,kufunga media ndio ubabe?
 
Mkuu hujamtazama kwa alivyo sawajika. Uso umejaa hatia ya ukatili kwa wasio na hatia, mauaji ya watu wasio na hatia. Ni kweli ana frustration ya kujitakia.

Kujifunza toka kwa Magu ni kupoteza nafasi yako ya kumpendeza Mungu.
Kakuua ww au family yako?Huo ukatili nje ya propaganda za ufipa ukiitwa au humu ndan unaweza thibitisha bila kuacha doa la shaka?
 
Uzuri jf kila mmoja ana Uhuru Wa kutoa maoni. Sasa msomaji anachambua mwenyewe. Kwa nchi hii tulipokuwa tumefika ilihiyajika MTU aina ya Magu. Kwa vipi!! Kila MTU jibu
 
Mtasema mengi lakini huyu jamaa anafanya vile ilitakiwa ifanywe
kama lipi mkuu lililofanikikwa na kuinafaisha jamii kwa kuipatia unafuu wa maisha?? maana hili ndilo la msingi
 
Uongozi maana yake ni kumiliki. Kiongozi kama Magufuli ndio mfano wa viongozi waletao maana ya uongozi. Maana wanaenda kinyume na kanuni tulioizoea, na kuleta raha ya maisha. Ili utawale itabidi uwe mpya kila siku na watu waanguke miguuni pako. Viva Magufuli.
 
Misuli inatumika pale ubongo unapoishia!!ukishindwa kutumia akili unatumia miguvu! And the repercusions will be immense
 
Hivi kuna tofauti kati ya MBABE na DIKTETA?

Katika thread moja leo wengi walikataa katukatu kuwa Rais wetu si Dikteta.

Wewe unaweza kutofautishaje ubabe na udikteta?
Udikteta ni kauli ya kizandiki kutoka kwa watu wazandiki
 
Kwa hali tuliokuwa tumefikia kama nchi tunahitaji mtu mbabe kama huyu.... Kwenye ubabe wapo wengi watakaoumia maana haikuwa kawaida kuishi maisha ya kibabe. Kama umeumia kwa namna moja au nyingine, pambana na hali yako mpaka utakapoweza kuendana na speed ya kibabe.
 
Vile vile tukumbuke kuwa sifa ya kiongozi bora si ubabe bali busara na hekima.
 
Huyu mr magufuri ni jasiri kweli kweli.haogopi kusimamia kile anachokiamini ni sahihi.na hii ndio hulka na tabia yako, mwaka 1993 tukiwa nyanza alizuia kuuzwa kw vinu vya kuchambulua pamba na mali nyingine za nyanza kw ujasiri mkubwa sn.ni kz ngumu sn kuwazuia kuuza mali watu ambao ni mabosi wako na ndio uliowaomba kz.hebu jiuluze unapata wp ujasiri wa kumwabia bosi wako,tena aliyekupa kz.kuwa ni mhujumu uchumi??!! Ni ujasiri wa hali ya juu.ni watu wachache tena wa aina ya magufuli ndio wanaoweza kufanya hayo.TUPENDE TUSIPENDE VYOVYOTE VILE TUTAKAMTIZAMA.LKN MAGUFULI NI JASIRI.
 
Hataliaje km nguvu zote za dola anazo! Utakuwa ujinga kila kitu anacho halafu aanze kulalamika
 
Nakubaliana na wewe mkuu.na kw nchi yetu ilipokuwa imefikia tulikuwa tunahitaji mtu wa aina ya magufuli,jasiri,shupavu,mbabe,awe km dikteta mwaminifu ktk katiba na nchi yake.yaani aisimamie katiba na sheria bira woga.
 
Misuli inatumika pale ubongo unapoishia!!ukishindwa kutumia akili unatumia miguvu! And the repercusions will be immense
Watu waoga na dhaifu km wewe hujihisi km wana akili na hekima.lkn ni waoga na wajinga.na hufa wakiwa dhaifu na maskini.labda ambacho hufanikiwa ni kuoa na kuzalisha tu.lkn hata ukifika kwenye familia zao ni vioja tupu.mke ndio kichwa cha familia na mtoto ndio kilanja mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…