Mnao mlaumu Mhe. Rais kwa mema atendayo kwa taiga hili mlitaka afanye nini?
Awali ya yote nitoe pongezi za dhati kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kazi ngumu na kubwa.
Ni wazi kuwa nchi yetu ilikuwa inahitaji kiongozi maini na mahiri kwa maslahi ya nchi yetu, uongozi wake umefanya watanzania wajenge imani kuwa kwa serikali iliyoko madarakani.
Ni muda ambao Vijana na watanzania wote kuacha lawama za ajabu na kutumika na makundi ya siyo mema kwa nchi yetu, ni muda ambao Vijana tunatakiwa kujisia fahari na kujivunia kwa kuwa na uongozi una hali maslahi ya watanzania wote bila kujali itikadi zao, ni muda ambao Vijana kwa umoja wetu twapaswa kuwa matatizo wa mbele katika kushirikiana na serikali yetu katika