China ni moja ya nchi ambazo zimeendelea duniani lakini fuatilia historia mpaka kufika pale utachoka, mimi niseme tu mjomba Magufuli piga kazi watakuelewa baada ya miaka kibao ijayoMtasema mengi lakini huyu jamaa anafanya vile ilitakiwa ifanywe
Hekima km za kikwete,kila kitu kwake ni hewala huku nchi inaangamia.Vile vile tukumbuke kuwa sifa ya kiongozi bora si ubabe bali busara na hekima.
Siyo wezi wote wako magereza, na wala siyo wauaji wote wamefikishwa mbele ya hakimu. Kuthibitishia Lumumba hakufuti mauaji. Kenge nyie. Tayari nafsi yake inatahayari analo.Kakuua ww au family yako?Huo ukatili nje ya propaganda za ufipa ukiitwa au humu ndan unaweza thibitisha bila kuacha doa la shaka?
Kwangu mimi hilo siyo tusi kama labda ulivyodhania, labda useme umeshafanikisha nini maishani mwako? Hapa Duniani unafanya nini kama siyo kusindikiza wengine
Uliona mbali sana Mkuu.Miaka mi5 ni mingi mno, hiyo kasi ya sasa ni moto wa kifuu.
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Sijaangaika hata kusoma mpaka mwisho, niliposoma hii sentensi nilitamani nikupe tusi kubwa sana ila nafsi ikanishauri niache.huyu ni kiongozi wa kwanza kupendwa Sana na watu Tanzania hata na afrika kwa ujumla
Magu ni chaguo la Mungu. Biblia inasema viongozi hutoka kwa Mungu; kuwatumikia watu wake. Wale wanaopinga hilo ujue wao ni wapinga Kristo ama Mungu. Ni maoni yangu tu. Sio lazima uamini wewe.huyu ni kiongozi wa kwanza kupendwa Sana na watu Tanzania hata na afrika kwa ujumla ni raisi anayefuata nyayo za baba wataifa, ni mchapakazi asiyependa rushwa na asiyependa watu wakionewa na kunyanyaswa,
Nampa pongezi Sana kwa hatua ya kuwaachia huru wafungwa mbalimbali siku ya uhuru sikuweza kutoa pongezi siku hile kwakuwa nilibanwa sana na majukumu Nampa bip Up sana nikiongozi mzuri mpenda watu wa rika zote matajiri na masikini wote anawapenda naomba tumuombee sana raisi wetu mtukufu ,nawasilisha
JamiiForums mpo?Mnao mlaumu Mhe. Rais kwa mema atendayo kwa taiga hili mlitaka afanye nini?
Awali ya yote nitoe pongezi za dhati kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kazi ngumu na kubwa.
Ni wazi kuwa nchi yetu ilikuwa inahitaji kiongozi maini na mahiri kwa maslahi ya nchi yetu, uongozi wake umefanya watanzania wajenge imani kuwa kwa serikali iliyoko madarakani.
Ni muda ambao Vijana na watanzania wote kuacha lawama za ajabu na kutumika na makundi ya siyo mema kwa nchi yetu, ni muda ambao Vijana tunatakiwa kujisia fahari na kujivunia kwa kuwa na uongozi una hali maslahi ya watanzania wote bila kujali itikadi zao, ni muda ambao Vijana kwa umoja wetu twapaswa kuwa matatizo wa mbele katika kushirikiana na serikali yetu katika