Ni siku chache sana ambazo mh rais rais amekaa pale magigini,lakini amefanya mambo ambayo ni kama amemaliza miaka mitano,kongole baba tuna kuombea,jambo jingine mianya ya ufisadi na mikingamo iliyokuwa unafanya na Mungu watu maofisin,ameibaini,kwa kweli Tanzania inaweza badilika nimeamini.
Niwaombe watanzania tumuunge mkono,siasa na kuwaza kisiasa tena siasa uchwara na makundi,Mungu kazimaliza kwa kutupatia jembe JPM,Mungu ibariki tanzania, Mungu awabariki watanzania,Mungu mbariki rais wetu JPM na wanaompinga wale maisha marefu waone mavitu yake mzee kazi.