Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Aguse kila mahali,maeneo yaliyooza ni mengi sana,kwenye halmashauri ndio kumeoza zaidi,kuna wakurugenzi kila sehemu walikopita kufanya kazi wana viwanja na majumba,hata kama wamefanya kazi kwa muda mfupi.
 
Wakenya wanatamani Magufuli awe raisi wao?Mwambie wabadilisha Uhuru Kenyata aje tanzania na huyu Magufuli aende kuishi huko kenya kwa sababu siyo chaguo letu .

Letu ni " wingi" wakati msemaji/muandishi ni wewe peke yako "umoja".
 
Sio kweli, Jamaa alipigiwa kura na watu wengi waliokuwa neutral...!
Tatizo lenu mnaamini kila mtu anaendeshwa kwa misingi ya vyama..poor you!!

Huyu Emma hana tofauti na Mmawia achana nao....they are not thinking rationally
 
Last edited by a moderator:
Watu washaanza kumkumbuka mzee wa maisha bora,alisema watamkumbuka nadhani alimaanisha wale watu wachache waliokua wanaitafuna nchi.Sasa tingatinga limeingia wanaisoma namba hakuliki wala hakuendeki.big up prezidaa piga kazi saidia sisi wanyonge malofa.
 
Me naomba watanzania tumuombee huyu dingi manake anavopiga kazi kuna vigogo wauza unga, wapiga madili, wezi wa kupindukia, mafisadi hawatampenda badala yake watamchukia. kumbuka John Kennedy wa usa alipingia ikulu moto wake ulikuwa like wa JPM but yaliyotekea wengi tunayajua na wahusika wakuu ni matajiri wakubwa wa nchi hiyo. so TUMUOMBEE SANA RAIS WETU MPENDWA JPM, NA AONGEZEWE ULINZI MARA DUFU. PIA NA YEYE ASIJIACHIE KITAANI
 
Ni siku chache sana ambazo mh rais rais amekaa pale magigini,lakini amefanya mambo ambayo ni kama amemaliza miaka mitano,kongole baba tuna kuombea,jambo jingine mianya ya ufisadi na mikingamo iliyokuwa unafanya na Mungu watu maofisin,ameibaini,kwa kweli Tanzania inaweza badilika nimeamini.

Niwaombe watanzania tumuunge mkono,siasa na kuwaza kisiasa tena siasa uchwara na makundi,Mungu kazimaliza kwa kutupatia jembe JPM,Mungu ibariki tanzania, Mungu awabariki watanzania,Mungu mbariki rais wetu JPM na wanaompinga wale maisha marefu waone mavitu yake mzee kazi.
 
Kufuatia Janeth magufuli kuwa first laddy katika uchaguzi uliomalizika hivi karibuni na Magufuli kuibuka kidedea,hatimaye Kassim majaliwa kuteuliwa kuwa waziri mkuu,sasa Pombe magufuli yuko mafichoni kutengeneza serikali yake na wakati wowote atatangaza baraza la mawaziri,ila mpaka sasa haijulikani nani atatoka katika lile lililokuwa baraza la Jk na nani ataingia pia nani mpya ataingia katika hili baraza,hivi kweli Janeth na familia yake hawana nafasi ya ushiriki katika teuzi hizi kama ilivyokuwa kipindi cha uongozi wa serikali ilitoka madarakani kushirikisha familia katika mambo haya na hato watoto wao kuweza kutoa matamko makubwa bila kukemewa

Hongera magufuli
Hongera Janeth kwa kufundwa na kulelewa vizuri
 
Hizi ni zama mpya kijana. Acha kuishi maisha ya kukariri. Mama first lady hana mihemko ya kisiasa kabisa, hadi sasa ulipaswa ujue kuhusu hilo. Mama wa watu anatekeleza majukumu yake ya kimke na sio vinginevyo. Yule mama Janet kwa taarifa yako hata kadi ya CCM hana.
 
Stupid thread
wewe una ushahidi mke wa JK au watoto wake walishiriki kupanga baraza?
 
Back
Top Bottom