Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Upinzani unajipinga wenyewe, sijaona mapendekezo yaliyo ya kiuchumi ku-boost economic development to citizens. Maamuzi ya kiuchumi yanapokuja kwenye level ya utekelezeji lazima yakomeshe ishu nyingi, na ishu hizi ni maslahi ya watu wachache.
 
Hebu dadavua kidogo ni nidhamu ya namna gani hiyo kazini, inawezekana wewe hufanyi kazi au ni mtoa rushwa kila huduma ndio maana huoni hayo madhila!
 
Tunao muda wa kutosha tu xo pambana na hali yako, hapotezi mtu muda hapa
 
Ni kweli kabisa nidhamu imerejea!

Kidumu Chama cha Mapunduzi Kidumu Chama tawala
 
Amefanikiwa kiasi kikubwa ukiringanisha na kabla hajawa Raisi.. ila kuna kazi bado haswa wale wanaowaonea wivu walio na maujuzi au elimu zaidi yao. Mimi kabla ya kusumuliwa yanayojiri tena na wafantakazi walio ngazi za chini.. husiowategemea wanajua ya jikoni kupita.. nimebaki mataa.. nchi hii watanzania wenyewe wengi ndio majipu wenye roho ya mbaya ya ajabu.

Na pia kuna wafanyakazi wanaoacha watu wanakufa mahospitalini kisa wameletewa wapya eti wenzao wasio na vyeti walitolewa eti wanaacha hao wasomi basi wafanya wao wenyewe.. ni ya kusikitisha sabaabu wanaju hawaulizwi maswali na hao waganga wakuu wengii kutambua mabadiliko mmmmmh.. kuna kazi bado..

Hii kitu imetandaa sana na inasikitisha kuwa binadamu wa nchi yetu haswa hao wa kwenye sekta ya afya kuna waluogeuka kuwa wauaji.

Nitafurahia nikija kusikia pia katika namba ya vifo vya watoto wanaozaliwa na mama zao wakati wa kujifungua takwimu zikoje.. mtu ukiringanisha na kabla haswa hajaingia kuwa Raisi au kabla ya wenye vyeti feki hawajaondolewa.

Ni gazeti la kuandika la matukio ya unyama niseme ya ajabu sana.. ila ndio hivyo.. ni mimi nijuaye kupata habari nikiwa kitaaaa.. wengi wanapenda kunisumulia yanayojiri kwenye hizo hopitali za wilaya na ndogo zake.. ni kuishi vizuri na watu wa rika zote maishani tangu nikiwa mdogo ndio zinaniwezesha kwenye mengi.

Maeneo mengine nayo mmmmmh.. nikijisikia nitashusha

Haya hii ni moja ya funga mwaka 2017
 
Kakobe kawashika pabaya Lumumba. Povu lazima limwagike. Na ole wenu mumsumbue
Kakobe anajitajirisha kwa kulaghai waumini, labda Mungu asiwepo, Wengine mpaka wanazaa na wake za waumini wao na kupima DNA hawataki, huko kwingine Maaskofu wanalawiti watoto mpaka Pope aliwahi kuomba radhi, Wengine mpaka mashoga husimama madhabahuni kuendesha ibada. Wengine mpaka mgao was escrow wamo. Ukiwa na upeo mkubwa huwezi kusikiliza hata ushauri au mahubiri yao, bora usome kitabu cha dini ukiwa alone tu sembuse waone makosa ya wenzao?
 
Watumishi wamesoma na wanaakili ukiwabana wanajifanya hawana neno lakini haki zao hazipotei...wataiba, kula rushwa na kusabotage mwishoni utagundua walishakuharibia
 
Kwaio kazi anayoifanya huyo jamaa ni msaada? kweli mbumbumbu ni wengi mtu anatekeleza majukumu aliyoyaomba kupewa halafu unaita msaada yani anawasaidia watanzania
 
Back
Top Bottom