Haki ipi hiyo unamaanisha?!Magufuli mtu wa haki..Mungu hajawahi kumtupa mtu wa haki
Nidhamu ya wogaNdugu, tumpongeze rais wetu kwa kurejesha nidhamu kazini
Nidhamu ya wogaNdugu, tumpongeze rais wetu kwa kurejesha nidhamu kazini
Sio nidham karudisha woga ulee wa mchongaNdugu, tumpongeze rais wetu kwa kurejesha nidhamu kazini
Kakobe anajitajirisha kwa kulaghai waumini, labda Mungu asiwepo, Wengine mpaka wanazaa na wake za waumini wao na kupima DNA hawataki, huko kwingine Maaskofu wanalawiti watoto mpaka Pope aliwahi kuomba radhi, Wengine mpaka mashoga husimama madhabahuni kuendesha ibada. Wengine mpaka mgao was escrow wamo. Ukiwa na upeo mkubwa huwezi kusikiliza hata ushauri au mahubiri yao, bora usome kitabu cha dini ukiwa alone tu sembuse waone makosa ya wenzao?Kakobe kawashika pabaya Lumumba. Povu lazima limwagike. Na ole wenu mumsumbue