Yupi huyo mkuu? Hebu ongeza mnofu kidogoIla hamkuti yule aliyekuwa anagawa pesa misikitini na makanisani!!
siku hz mbona hagawi tena?!
magu acha uhuru wa kujieleza bila kubana watu na kuwaonea utakua umejiweka pazuri lakini hivo unavyowapoteza wengine na kuwafyatula marisasi hata mabalozi wa leo bado hawajakukubali walikuja tu kwa vile umewaalikaLabda neno 'nuru' liwe na maana nyengine sio hii ninayoijua mimi.... Kweli ukipenda sana... Hata mwenye chongo utamuita kengeza...!!!
Hahahaaaaa kwann mkuuKweli nimeamini bangi huwa inakaa miaka saba kichwani.
Alipokuwa akipost hapa mlimkejeli mno, Leo umemis post zake!Nimemisi post za Deo Kisandu....
Umeungana na mtulia kumpenda rais
Anampenda sana MwenzieHahahaaaaa kwann mkuu
Majuzi ktk pitapita zangu kitaa, naliingia studio moja hiv, nikakutana na MTU katoka mkoa yupo studio moja mjini hapa, amekuja rekodi nyimbo ya kumsifia ndg yangu wee,Anampenda sana Mwenzie
Hahahah sisi watanzania ni watu wa mwisho kumalizia evolution of man,tunabadilika taratibu sana,mwisho,mwisho wa dunia utukute tukiwa bado kwenye evolutionMajuzi ktk pitapita zangu kitaa, naliingia studio moja hiv, nikakutana na MTU katoka mkoa yupo studio moja mjini hapa, amekuja rekodi nyimbo ya kumsifia ndg yangu wee,
Moja na maneno yalokuwepo ktk wimbo huo ni jina LA msifiwa kuwa umetukuka baba
Wewe ni wa ajabu
Hapajawahi tokea km wewe
Mungu akupe maisha marefu, yaani nilikojoa ktk nguo
Hahahah sisi watanzania ni watu wa mwisho kumalizia evolution of man,tunabadilika taratibu sana,mwisho,mwisho wa dunia utukute tukiwa bado kwenye evolution
.sio kwamba kila mbongo ni chizi Ila wewe na huyo mwenzako mna degree kubwa sana ya uchiziMh Rais ametengeneza kitu hatujakielewa ila at last umefika wakati kila mtanzania ni usalama wa taifa. Majambaz wote na majizi ya rasilimali yote hayana pakujificha..