Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila hamkuti yule aliyekuwa anagawa pesa misikitini na makanisani!!Laghai sana huyo mtu unaemsifia hapa jukwaani mkuu.
Wewe alikugawia tsh-ngapi mkuu?Ila hamkuti yule aliyekuwa anagawa pesa misikitini na makanisani!!
siku hz mbona hagawi tena?!
Heshima yako mkuupumba
Mie sina msikiti wala kanisa so sikuonja mkuuWewe alikugawia tsh-ngapi mkuu?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hapo kakupa buku saba tu...je akikupa laki?
Hama chama sasa.. unapenda ballaaa[emoji196]Mh Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kweli wewe ndio Rais wa pekee ktk taifa hili haujawahi kutokea hata baada ya kuondaka baba wa taifa Mwl Nyerere. Kiukweli hutembei kwa nguvu zako tu? Ila hata hayati baba wa taifa kule aliko anakumbuka maneno yake ya mwisho "Nawaombea watanzania"
Ndugu zangu huyu Rais hatokuwepo huyu rais ni wa maajabu. Dr Magufuli hakika amekuwa rais wa mfano ktk taifa na duniani hakuna kiongoz amewahi kuwa na speed ya maendeleo na mipango ina speed kama yahuyu Rais. Unaweza kusema alijuwa njia before hajawa Rais ama alikuwa na pla B kabla yakuwa Rais. Ninani atasimam aseme sinaguswa na speed ya maendeleo ya huyu Rais?
Ninani atasemamm sijaguswa na matendo mema yahuyu kiongozi?
Kwakweli huyu Rais amejitoa kwa dam kuikomboa tanzania semeni yote mwaweza sema ila Mh Rais anania njema kulikomboa taifa hili.
Ilifika mahali watu waliona wao ndio wenye haki yakuishi wengine wakiwa hawana hiyo haki. mh rais amegawa haki hiyo kwa wote.
Mungu anapenda watu wanatoa haki kama huyu Rais kwa hakika ni rais wakarne na amini vizazi kwa vizazi watamsoma alikiwepo Rais Dr Magufuli.. Nakupenda sana Mh Rais nakuombea ufanye mengi zaid ya haya na nina iman wewe ni wakipekee sana.
Nimemisi post za Deo Kisandu....deokisandu
Mh Rais ametengeneza kitu hatujakielewa ila at last umefika wakati kila mtanzania ni usalama wa taifa. Majambaz wote na majizi ya rasilimali yote hayana pakujificha..
Hahaha majambazi nayo ni matanzania nayo ni mausalama ya taifa.Mh Rais ametengeneza kitu hatujakielewa ila at last umefika wakati kila mtanzania ni usalama wa taifa. Majambaz wote na majizi ya rasilimali yote hayana pakujificha..