Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Watu wengine sijui mnatumwaga ili msikie maiti zinaokotwa baharini?
Hao watu hawakuwa na ndugu tusikie ndugu wakiwatafuta?Iweje bavicha muwe na uchungu sana kuliko ndugu zao?Mi naamini mtu hadi kupotezwa ni lzm uwe na jambo lenye kuleta shida sana kwenye maslai ya mtu au kundi flani na automatically hao waliopetea wangejulikana tu kuwa flani kasema hivi na sasa kapotea ktk mazingira ya kutatanisha.Hao mnaodai wamepotezwa walifanya nn kias utawala uone ni hatari na solution iwe kuwapoteza?
 
Kwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa
fix, hata yule waziri wa ulinzi wa Iraq enzi za Sadam aliyekuwa anariport mwenendo wa vita vya Iraq vs Marekani na washirika wake ni cha mtoto.
 
Tuwe wakweli na tusifuate ukabila kuwa fulani ni Msuk......mwenzangu, JPM hawezi kumzidi JK kwa speech hata kwa sekunde na yupo mbali sana. Nina uhakika pamoja na 2 years of my experience nitamzidi mbali nikipambanishwa nae
 
Unasema akikaribia kumaliza unatamaani aendelee?

Samahani; wewe ni -me- au -ke-?
ANAMAANANISHA KUWA JAMAA AKIKARIBIA KUMALIZA HUWA NDIO ANASIMAMIA KUCHA VIZURI, HIVYO ANATAMANI ASIMALIZE HARAKA
 
Hao watu hawakuwa na ndugu tusikie ndugu wakiwatafuta?Iweje bavicha muwe na uchungu sana kuliko ndugu zao?Mi naamini mtu hadi kupotezwa ni lzm uwe na jambo lenye kuleta shida sana kwenye maslai ya mtu au kundi flani na automatically hao waliopetea wangejulikana tu kuwa flani kasema hivi na sasa kapotea ktk mazingira ya kutatanisha.Hao mnaodai wamepotezwa walifanya nn kias utawala uone ni hatari na solution iwe kuwapoteza?
KWAHIYO UNAKIRI KUWA KWELI MKULU ANAWAPOTEZA WATU WANAOTAKA KULETA SHIDA KWENYE MASLAHI YAKE/ YA CHAMA CHAKE
 
Nchi za Afrika hivi sasa zinakabiliwa na matatizo ya afya ya akili.
 
Hakuna asiye juta kumchagua magufuluii hata mkapa tu anajuta magufuii niliyemteu sio huyu aliyeko madarakani
 
na ndio maana anaweka wazi kwa kutomtaja raisi wa TLS Tundu lisu maana ni msema ukweli kutoka rohoni
 
Kwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa
kwa mahaba umemzidi hata kabula, sundi na angela
 
Back
Top Bottom