Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Wengine roho mbaya tu, choyo tu, gere tu, ufisadi tu, lolote la maana lenye mwelekeo wa kubadili maisha ya watanzania wataliponda na kulipinga. Heko Magufuli.
Mimi nadhani wengi waliokuwa wana chukia mafanikio ya wenzao ndio sasa hivi wanafurahia wenzao kukosa lkn nawaambia Magu ataondoka mkiwa hivyo hivyo masikini mkiendelea kusifia nyie wenyewe mnakula mihogo na maji ya kandoro
 
naunga mkono hoja
Nini? Sio kila kitu ni kuunga mkono. Hata akivunja katiba aliyoapa kuilinda wewe unaunga mkono tu? Unga mkono critically Sidhani kama kila kitu ni cha kuunga mkono labda uamue kuishi kwa kutegemea watu wengine wafikirie kwa ajili yako
 
Kasi ipi unakurupuka andika kwa data,au kasi ya kuwashika akina Msigwa na akina sugu tupe data sio unakurupuka tu.
Na wewe usikurupuke kumjibu huyu jamaa, uzi wa 2015 masiku kadhaa baada ya kuapishwa JPM
You never know, labda jamaa amebdalisha mawazo au la
 
Magufuli ndiye rais mwenye dira....anaona mbali na ni mpenda wananchi wake. Kina mwinyi, Mkapa, Kikwete walikuwa hawana mpango na watanzania, na ndiyo maana tunapendekeza wanyongwe.
 
Kwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa
 
What?
 
Naona mzee amekutekenya ukatekenyeka. Ongera
 
Kwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa
Watu wengine sijui mnatumwaga ili msikie maiti zinaokotwa baharini?
 
Kwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa
Nafasi za U-DC kwani bado zipo?
 
Kwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa
Manyo'anokho!! Umebakiza kitu kimoja tu ndugu yangu "kuchojoa"
 
Kwa kweli jpm anajitahidi Sana kutoa speech zilizoja hisia Kali na mifano na mikakati mpaka raha. Ukimsikiliza huchoki na akukaribia kumaliza unatamani aendelee. Jpm ni zaidi ya maraisi wote duniani. JK alikuwa akitoa speech nasinzia kabisa zilikuwa hazina mvuto kabisaaa
Mahaba yakizidi! Mhhh!
 
Kweli kabisa, kila shetani na mbuyu wake au Kipenda roho ula nyama mbichi.
Hongera kwa upendo mkuu na ulitukuka.
 
Back
Top Bottom