Bekabundime
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 2,017
- 1,733
Mimi nadhani wengi waliokuwa wana chukia mafanikio ya wenzao ndio sasa hivi wanafurahia wenzao kukosa lkn nawaambia Magu ataondoka mkiwa hivyo hivyo masikini mkiendelea kusifia nyie wenyewe mnakula mihogo na maji ya kandoroWengine roho mbaya tu, choyo tu, gere tu, ufisadi tu, lolote la maana lenye mwelekeo wa kubadili maisha ya watanzania wataliponda na kulipinga. Heko Magufuli.