Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

naona umeruka pale ulipo ota katiba itakayo zuia kuwa na mtawala wa milele.
 
Mimi nakubali kabisa. Rais Magufuli anaweza kutupa surpise wote na tukashangaa na kumpenda kuliko rais mwingine yeyoye. Ana nia njema na.nchi. hivyo anaweza kufanya hivyo.
Ni sawa katiba ikianzia pale inapobadilishwa bila kurudi nyuma. Kurudi nyuma kunaleta maumivu makubwa kwa watu na familia zao.
Go Magufuli! Go!
 
hapo tu ulishaniudhi kuita chama la wana ni fisadi kwani wao ndo walisema million 10 ni ela ya mboga
 
Ndoto itatimia 26/4/18 hakika atatuachia katiba pendwa ye na bashite wakiwa assylum seeker in Rwanda
 
sasa subiri tofasiri yake kutoka kwetu
  • swali langu kwanza [juzi na jana ulikuwa na kazi gani? jibu tu bila ya hisia tofauti alafu ntakutofasiria hiyo ndoto yako
 
Ndoto nyingine hii hapa inaotwa. Mkuu malizia ndoto yako kwanza halafu utupe update... Usiote huku unaripoti 'ndoto live'
 
Tuko naye rais wetu make hii ni kwa faida yetu na vizazi vyetu
Huyu mkuu si wa mchezo huu mwezi tangu uanze ni kufungua mavitu mapya tuu. na kila akifungua lazima atupie neno kuhimiza maendeleo na amani si mchezo watu wengi wanazidi kumwelewa.
 
Vipi kuna hata dalili ya kutimia kwa nusu ndoto yako , achilia mbali ndoto kamili ?
 
"There are some people who may think President Mafuli disrupts their agenda......., president Magufuli disrupt their agenda.. " Prof. Lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…