Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
na kweli hii ni ndoto,pweza na ziwa victoria wapi na wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo tu ulishaniudhi kuita chama la wana ni fisadi kwani wao ndo walisema million 10 ni ela ya mbogaKWANZA NIKUOMBE USIPATE UVIVU KUISOMA KUNA KITU UTAKIONA KWENYE NDOTO HII CHA AJABU.
Hii ndoto nimeota leo nimeitafakari nikaona niilete kwenu,
nimeota kwamba Mh.rais magufuli ataiacha nchi hii na katiba nzuri tena iliyo kuwa inahitajika na watanzania wazalendo na kuitupilia mbali tena sana ile ya CHENGE NA MAFISADI WENZIE na WABUNGE WA CCM
Ndoto nyingine hii hapa inaotwa. Mkuu malizia ndoto yako kwanza halafu utupe update... Usiote huku unaripoti 'ndoto live'Mimi nakubali kabisa. Rais Magufuli anaweza kutupa surpise wote na tukashangaa na kumpenda kuliko rais mwingine yeyoye. Ana nia njema na.nchi. hivyo anaweza kufanya hivyo.
Ni sawa katiba ikianzia pale inapobadilishwa bila kurudi nyuma. Kurudi nyuma kunaleta maumivu makubwa kwa watu na familia zao.
Go Magufuli! Go!
Huyu mkuu si wa mchezo huu mwezi tangu uanze ni kufungua mavitu mapya tuu. na kila akifungua lazima atupie neno kuhimiza maendeleo na amani si mchezo watu wengi wanazidi kumwelewa.Tuko naye rais wetu make hii ni kwa faida yetu na vizazi vyetu
Vipi kuna hata dalili ya kutimia kwa nusu ndoto yako , achilia mbali ndoto kamili ?Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!
Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Hata kusikia masikio nayo yameziba?Vipi kuna hata dalili ya kutimia kwa nusu ndoto yako , achilia mbali ndoto kamili ?