Kanyaga twende kuzindua ukuta ?Magufuli kanyaga twende baba!
Vipi kuna hata dalili ya kutimia kwa nusu ndoto yako , achilia mbali ndoto kamili ?
Katiba ya Tanzania imeorodhesha majukumu ya Rais , Udikteta , matusi , kejeli , utekaji na mauaji havimoKwa mfano wewe ndoto yako ilikuwa ipi asingepata urais Magu?
Hongera Mkuu.Hatimae nimekaa fonti feji
Kweli yupo njia sahihi, kama mtu unaweza kuficha 1.5trillioni na isijulikane ilipo basi huyu kiboko
Njia sahihi ya kutekeleza malengo sahihi kuelekea uchumi wa kati.Njia sahihi ya kukwapua trilioni 1.5.
Kwani wewe kwa uelewa wako MIPANGO ya serikali inakufa kutokana na rais mpya kaja. Kuna mipango ya muda mrefu na muda mfupi. Mengi ya muda mrefu ni continous. Hata JK aliendeleza mengi tu ya Mkapa.Hadi muda huu sijaona jambo alilofanya lenye tija kwa taifa labda kakinufaisha chama chake kwa kununua wapinzani deni la taifa linakuwa maradufu,matibabu ya nje huko hatar tupu, ufisadi bado upo wa kutisha miradi inazinduliwa ya jk, labda kajitahid kuimarisha matawi ya mabenk na kuzindua
Tatizo hawaachi anuani jinsi ya kupewa promotedHaya kachukue buku 7 yako halafu ujisemee wewe cha kumlipa sio utuingize na wengine