Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kweli kabisa... maana
Bilioni 1500 yeye
TRA mapato hewa yeye
 
Jizi yeyee.
 
1.5T... wewe!
Pyu pyu pyu... wewe!
Demokrasia kapuni ... wewe!
Bunge butu... wewe!
Media bubu... wewe!!!
 
Reactions: PNC
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana.
 
Reactions: PNC
Umetuabisha wandamba.

Hatukatai maendeleo ya vitu. Lakini yanapaswa kwenda sambamba na maendeleo ya watu.
 
Kampe malinda yako, afterall hukuyanunua. Ulipewa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…