Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Waliosomea mitusi yenye kiburi chenye umasikini ngoja waje wakutandike nayo usoni.

Ila wako hoi hawaamini wanachokiona.
 
Duh.. too much propaganda! Hujasikia Fedha zilizotumika kujenga hyo fly over ni za Japan??
 
Mkakati wa kufua umeme kwa kutumia mto Rufiji/Kilombero upstream, naliunga mkono kwa 101%.

Mkakati huu wa Prez Magufuli lazima uungwe mkono na watanzania wote.
Na bahati nzuri hatua za usambzaji umemevhadi vijijini umeshaanza kupitia REA.

TANZANIA ikipata 2100MW pamoja na umeme 1500MW uliopo sasa, Tanzania tutakuwa na umeme wa kutosha.

Big up Prez Magufuli for the initiative.
 
Miongoni mwa vitu wazungu wananufaika navyo ni hii ishu ya KUTUUZIA umeme....
Hivi kwa hali ya KAWAIDA unaweza vipi kumtoa OBAMA marekani kisa SIMBION afu HIYO simbion isiwe na MASLAHI KWA WAMAREKANI???HILO HALIPO sasa watu kama hawa watashindwa vipi kuwatumia kina ZITTO,LISSU na CHADEMA kuupinga MRADI HUU?
MAGUFULI anakaza mahali ambapo anaujua UKWELI halisi......Magufuli ameingia IKULU kajionea SIRI nyingi mno juu ya NCHI HII..
Hili la STIGLIER'S ni mkombozi mkubwa sana kwa Tanzania na ni kilio kikubwa sana kwa WEZI wetu
 
Mkakati wa kufua umeme kwa kutumia mto Rufiji/Kilombero upstream, naliunga mkono kwa 101%.

Mkakati huu wa Prez Magufuli lazima uungwe mkono na watanzania wote.
Na bahati nzuri hatua za usambzaji umemevhadi vijijini umeshaanza kupitia REA.

TANZANIA ikipata 2100MW za Stiegkers Gorge, ukichanganya na 1500MW za sasa hivi, tutatuwa matajiri wa nishati endelevu.

Big up Prez Magufuli for the initiative.
 
Nyani wapya msitu wa zamani

CCM chaka la wadhalimu na mafisadi.
 
Kwa nini unasema LAZIMA uungwe mkono na Watanzania wote ikiwa hatoi taarifa za kushawishi hilo??
 
Sishangai JPM anavyotukanwa na kukejeliwa ni kina Salary Slip na marafiki zake.

Wapigaji ni wengi sana, hawataki mfumo waliouzoea ufe wakati wao bado wapo hai. Lakini Ngosha anakomaa nao.
 
Hakuna anayepinga juhudi za rais wetu, japo wapo wanaohoji ili kupata ukweli, ndo hilo tu!
Jambo la kujiuliza ...
Waliomtangulia walikuwa ni wa kutoka chama gani?
Kama wote walitoka chama hichohicho ina maana ndani ya chama hicho kuna wachache sana wenye kuwa waadirifu kiutendaji.
Akimaliza mda wake si watarudi walewale waharibu tena ili tuanze na moja?
Kinachotakiwa ni kufumua mfumo mzima ... wachache wajiunge na upinzani ili chama cha wapiga deal kiwekwe pembeni.
Nimeyaandika haya leo lakini baada ya miaka 10 mbele mtayaona haya!
Walioharibu raiway,
Waliotuuzia nguzo za umeme toka misitu yetu,
Waliosaini mikataba pasipo kuisoma
Waliouza maliasiri za taifa
Waliouza hadi wanyama na kuwasafirisha nje wakiwa hai
Hawa wote bado wapo na wanasubiri mda wa mpambanaji wetu uishe warudi tena kuendeleza ufisadi wao!
 
MODS ni kiboko!
Mada zote hata zisizohusiana za kusifu utendaji wa Mh Magufuli, haraka haraka zinafutikwa huku!!!
Nia ya kufanya hivyo inaeleweka fika!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…