Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe ametukataza tusifanye hivyo...Je wapinzani wa maendeleo haya Serikali yetu kwa Nini tusiungane na Mh Rais Katika juhudi za kuliletea Taifa letu maendeleo?
Nyani wapya msitu wa zamaniMiongoni mwa vitu wazungu wananufaika navyo ni hii ishu ya KUTUUZIA umeme....
Hivi kwa hali ya KAWAIDA unaweza vipi kumtoa OBAMA marekani kisa SIMBION afu HIYO simbion isiwe na MASLAHI KWA WAMAREKANI???
MAGUFULI anakaza mahali ambapo anaujua UKWELI halisi......Magufuli ameingia IKULU kajionea SIRI nyingi mno juu ya NCHI HII..
Hili la STIGLIER'S ni mkombozi mkubwa sana kwa Tanzania na ni kilio kikubwa sana kwa WEZI wetu
Kwa nini unasema LAZIMA uungwe mkono na Watanzania wote ikiwa hatoi taarifa za kushawishi hilo??Mkakati wa kufua umeme kwa kutumia mto Rufiji/Kilombero upstream, naliunga mkono kwa 101%.
Mkakati huu wa Prez Magufuli lazima uungwe mkono na watanzania wote.
Na bahati nzuri hatua za usambzaji umemevhadi vijijini umeshaanza kupitia REA.
TANZANIA ikipata 2100MW z
Uliitwa muarobaini ukawa mbuyuUmeme wa gesi waliahidi tutauza mpaka nje
Mkuu vumilia tu dawa ya maendeleo ikikuingia.Nyani wapya msitu wa zamani
CCM chaka la wadhalimu na mafisadi.
Wanaompinga ni wafaidika wa ufisadi.rSishangai JPM anavyotukanwa na kukejeliwa ni kina Salary Slip na marafiki zake.
Wapigaji ni wengi sana, hawataki mfumo waliouzoea ufe wakati wao bado wapo hai. Lakini Ngosha anakomaa nao.
VIDEO: Vijana Mbagala wamvaa Magufuli, Vijana Zaidi ya 8000 Kujiunga CCM VIDEO: Vijana Mbagala wamvaa Magufuli, Vijana Zaidi ya 8000 Kujiunga CCM - MUUNGWANA BLOG