Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mm sitaki kugeuka nyuma nitakuwa jiwe. Ukitaka kujua maana ya wapinzani wa kiafrica angalia video hii hapa
 
Watu waliopotea wakipatikana nitaunga mkono awamu hii ya 5.Vinginevyo ni damu za watu tuu
 
Hivi wanakosoa ili tu waonekane wamekosoa?
Wanakosoa ili mradi watimize matakwa ya nafsi zao?
Wanakosoa kwakuamini kwamba awamu ya 5 haiongozwi na Makanika?
Wakosoaji wanatoa mbadala?
Wakosoaji ni waathrika wa utekelezaji madhubuti wa awamu ya 5
Wakosoaji wanafanya hivyo kutokana na chuki binafsi dhidi ya Serikali ya awamu hii?
Je wakosoaji ni mapandikizi?
MAJIBU TAFADHALI, SIYO MATUSI, KASHFA, UKIKOSA JIBU WEWE PITA TU. ISIJE CYBER CRIME IKAKUTIA HATIANI.

Like
Wewe unaonaje? 1] bunge kufungiwa ili wananchi wasione liojiwe? 2] kupotea kwa tilioni moja pointi tano kusiojiwe? 3] Kufungia vyama vya siasa kufanya mikutano kunyamaziwe? 4] kutumia pesa bila ruhusa ya bunge kunyamaziwe. 5] kuwa kiongozi wa wananchi na kumchagua mtoto wa dada kugawa hela za wananchi kifamilia je kusiojiwe? 6]Je mtu akimua kupiga.shangazi yako hasiojiwe? 8]Tukioji pesa ya korosho kuchukuliwa kusikojulikana ni vibaya? 9] Tundu lisu kupigwa risasai ni halali 10] KUTEKWA KWA WATU KUSIOJIWE? 11] Bashite kufoji vyeti akaachwa na wengine kufukuzwa ni halali?12] Kudanganywa kwamba ACACIA watatulipa makininikia kumbe uongo sio vya kusema? 14] Watu kukosa pesa mfukoni huku ukisema uchumi unapanda ni sahihi?
 
Jibu rahisi ni kwamba Chadema ndiyo chama kikuu cha upinzani na ndiyo kinawanyima raha Ccm kwa vile kwa sasa kina nguvu kuliko Ccm wanachofanya ni kutumia plan tu ili kukizima
 
Wapo wanaomuunga mkono, na wanaomsifia, sijui dr bashiru juzi aliongea nn? Nimesahau
 
Sijawahi sikia wabunge na mawaziri wa ccm wakiunga mkono juhudi,
 
Kawaulize Dr. Bashiru na Nape wanamajibu yaliyotukuka.
 
Raisi trump ni wa awmu yangapi marekani unadhani?hatua wliyoipiga wamarekani na cc ni sawa? unahsi trump hakosolewi na wamarekani?asiekosolewa ni mungu tu.
 
Raisi trump ni wa awmu yangapi marekani unadhani?hatua wliyoipiga wamarekani na cc ni sawa? unahsi trump hakosolewi na wamarekani?asiekosolewa ni mungu tu.
Trump ni wais wa 43 kama sikosei na kila rais hukaa madarakani miaka 5 so marekani ina umri zaidi ya miaka 200 tanzania ndo kwanza tuna 50+ so cu compare tanzania na marekani ni kukosea
 
Raisi trump ni wa awmu yangapi marekani unadhani?hatua wliyoipiga wamarekani na cc ni sawa? unahsi trump hakosolewi na wamarekani?asiekosolewa ni mungu tu.
Ukikosoa hakikisha unatoa mbadala, siyo kuropoka ropoka tu.
 
Trump ni wais wa 43 kama sikosei na kila rais hukaa madarakani miaka 5 so marekani ina umri zaidi ya miaka 200 tanzania ndo kwanza tuna 50+ so cu compare tanzania na marekani ni kukosea
Kukosolewa binadam aliye hai ni kawAida sana.ukitaka usikosolew we acha kuwa hai uone kama utaendelea kukosolewa.
 
Ukikosoa hakikisha unatoa mbadala, siyo kuropoka ropoka tu.
Kwa mfano unatembea hujafunga zip ya suruali.kuna ubaya MTU akikwambia ndugu yangu funga suruali? kukosoa nijuavyo mm ni kunionyesha mapungufu yangu ili niweze kufanya kwa ubora zaidi sivyo?
 
Asiye kusolewa ni Mungu, hata hvyo wapo waodhubutu kumkosoa sembuse huyo kichaa!
 
Mm hat cjasoma ulichoandka ila wapo weng sana,,kwa nn isikosolew? SKU ukiona kla kitu watu wanakuunga mkono jua bas kati yenu na hao wanao kuunga mkono kuna mmoja mweny tatzo la akili
 
Mm hat cjasoma ulichoandka ila wapo weng sana,,kwa nn isikosolew? SKU ukiona kla kitu watu wanakuunga mkono jua bas kati yenu na hao wanao kuunga mkono kuna mmoja mweny tatzo la akili

[QUOTE="Makusudically, post: 28676620, member: 205422" Aliwahi kutamka Maneno machafu hadharani na Watanzania wote wakajua na Dunia ikajua.
Kwamba Baba wa Taifa eti alizoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi, Watanzania wengi wenye akili walisononeka sana na kumshitaki kwa Mung wa Mbinguni ili amwadhibu mtu huyu mwenye roho mbaya kuwahi kutokea Duniani[/QUOTE]
 
Mm hat cjasoma ulichoandka ila wapo weng sana,,kwa nn isikosolew? SKU ukiona kla kitu watu wanakuunga mkono jua bas kati yenu na hao wanao kuunga mkono kuna mmoja mweny tatzo la akili
Huko ni kukariri, kukosoa bila kutoa mbadala ni upumbavu na wendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…