Elly official
JF-Expert Member
- Sep 16, 2018
- 730
- 989
Mm sitaki kugeuka nyuma nitakuwa jiwe. Ukitaka kujua maana ya wapinzani wa kiafrica angalia video hii hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu waliopotea wakipatikana nitaunga mkono awamu hii ya 5.Vinginevyo ni damu za watu tuuHivi wanakosoa ili tu waonekane wamekosoa?
Wanakosoa ili mradi watimize matakwa ya nafsi zao?
Wanakosoa kwakuamini kwamba awamu ya 5 haiongozwi na Makanika?
Wakosoaji wanatoa mbadala?
Wakosoaji ni waathrika wa utekelezaji madhubuti wa awamu ya 5
Wakosoaji wanafanya hivyo kutokana na chuki binafsi dhidi ya Serikali ya awamu hii?
Je wakosoaji ni mapandikizi?
MAJIBU TAFADHALI, SIYO MATUSI, KASHFA, UKIKOSA JIBU WEWE PITA TU. ISIJE CYBER CRIME IKAKUTIA HATIANI.
lakini mbona wanohama wanasema hawajapewa chochoteJibu rahisi ni kwamba Chadema ndiyo chama kikuu cha upinzani na ndiyo kinawanyima raha Ccm kwa vile kwa sasa kina nguvu kuliko Ccm wanachofanya ni kutumia plan tu ili kukizima
Sijawahi sikia wabunge na mawaziri wa ccm wakiunga mkono juhudi,Hivi eti ni kwa nini wanasiasa wengi wanaohama upinzani kwenda chama cha ccm kwa madai ya kuunga mkono juhudi za rais wengi wanatoka chadema.
Hivi wapinzani kwenye vyama vingine kama vile UDP,CHAUMA,TLP wao hawajaona umuhimu wa kuunga mkono juhudi au wanaunga mkono juhudi wakiwa hukohuko kwenye vyama vyao
Rushwa ni siri ya watu 2lakini mbona wanohama wanasema hawajapewa chochote
Hivyo ndivyo alivyoongea mkuuWapo wanaomuunga mkono, na wanaomsifia, sijui dr bashiru juzi aliongea nn? Nimesahau
Kawaulize Dr. Bashiru na Nape wanamajibu yaliyotukuka.Hivi wanakosoa ili tu waonekane wamekosoa?
Wanakosoa ili mradi watimize matakwa ya nafsi zao?
Wanakosoa kwakuamini kwamba awamu ya 5 haiongozwi na Makanika?
Wakosoaji wanatoa mbadala?
Wakosoaji ni waathrika wa utekelezaji madhubuti wa awamu ya 5
Wakosoaji wanafanya hivyo kutokana na chuki binafsi dhidi ya Serikali ya awamu hii?
Je wakosoaji ni mapandikizi?
MAJIBU TAFADHALI, SIYO MATUSI, KASHFA, UKIKOSA JIBU WEWE PITA TU. ISIJE CYBER CRIME IKAKUTIA HATIANI.
Raisi trump ni wa awmu yangapi marekani unadhani?hatua wliyoipiga wamarekani na cc ni sawa? unahsi trump hakosolewi na wamarekani?asiekosolewa ni mungu tu.Hivi wanakosoa ili tu waonekane wamekosoa?
Wanakosoa ili mradi watimize matakwa ya nafsi zao?
Wanakosoa kwakuamini kwamba awamu ya 5 haiongozwi na Makanika?
Wakosoaji wanatoa mbadala?
Wakosoaji ni waathrika wa utekelezaji madhubuti wa awamu ya 5
Wakosoaji wanafanya hivyo kutokana na chuki binafsi dhidi ya Serikali ya awamu hii?
Je wakosoaji ni mapandikizi?
MAJIBU TAFADHALI, SIYO MATUSI, KASHFA, UKIKOSA JIBU WEWE PITA TU. ISIJE CYBER CRIME IKAKUTIA HATIANI.
Trump ni wais wa 43 kama sikosei na kila rais hukaa madarakani miaka 5 so marekani ina umri zaidi ya miaka 200 tanzania ndo kwanza tuna 50+ so cu compare tanzania na marekani ni kukoseaRaisi trump ni wa awmu yangapi marekani unadhani?hatua wliyoipiga wamarekani na cc ni sawa? unahsi trump hakosolewi na wamarekani?asiekosolewa ni mungu tu.
Ukikosoa hakikisha unatoa mbadala, siyo kuropoka ropoka tu.Raisi trump ni wa awmu yangapi marekani unadhani?hatua wliyoipiga wamarekani na cc ni sawa? unahsi trump hakosolewi na wamarekani?asiekosolewa ni mungu tu.
Kukosolewa binadam aliye hai ni kawAida sana.ukitaka usikosolew we acha kuwa hai uone kama utaendelea kukosolewa.Trump ni wais wa 43 kama sikosei na kila rais hukaa madarakani miaka 5 so marekani ina umri zaidi ya miaka 200 tanzania ndo kwanza tuna 50+ so cu compare tanzania na marekani ni kukosea
Kwa mfano unatembea hujafunga zip ya suruali.kuna ubaya MTU akikwambia ndugu yangu funga suruali? kukosoa nijuavyo mm ni kunionyesha mapungufu yangu ili niweze kufanya kwa ubora zaidi sivyo?Ukikosoa hakikisha unatoa mbadala, siyo kuropoka ropoka tu.
Asiye kusolewa ni Mungu, hata hvyo wapo waodhubutu kumkosoa sembuse huyo kichaa!Hivi wanakosoa ili tu waonekane wamekosoa?
Wanakosoa ili mradi watimize matakwa ya nafsi zao?
Wanakosoa kwakuamini kwamba awamu ya 5 haiongozwi na Makanika?
Wakosoaji wanatoa mbadala?
Wakosoaji ni waathrika wa utekelezaji madhubuti wa awamu ya 5
Wakosoaji wanafanya hivyo kutokana na chuki binafsi dhidi ya Serikali ya awamu hii?
Je wakosoaji ni mapandikizi?
MAJIBU TAFADHALI, SIYO MATUSI, KASHFA, UKIKOSA JIBU WEWE PITA TU. ISIJE CYBER CRIME IKAKUTIA HATIANI.
Mm hat cjasoma ulichoandka ila wapo weng sana,,kwa nn isikosolew? SKU ukiona kla kitu watu wanakuunga mkono jua bas kati yenu na hao wanao kuunga mkono kuna mmoja mweny tatzo la akiliHivi wanakosoa ili tu waonekane wamekosoa?
Wanakosoa ili mradi watimize matakwa ya nafsi zao?
Wanakosoa kwakuamini kwamba awamu ya 5 haiongozwi na Makanika?
Wakosoaji wanatoa mbadala?
Wakosoaji ni waathrika wa utekelezaji madhubuti wa awamu ya 5
Wakosoaji wanafanya hivyo kutokana na chuki binafsi dhidi ya Serikali ya awamu hii?
Je wakosoaji ni mapandikizi?
MAJIBU TAFADHALI, SIYO MATUSI, KASHFA, UKIKOSA JIBU WEWE PITA TU. ISIJE CYBER CRIME IKAKUTIA HATIANI.
Mm hat cjasoma ulichoandka ila wapo weng sana,,kwa nn isikosolew? SKU ukiona kla kitu watu wanakuunga mkono jua bas kati yenu na hao wanao kuunga mkono kuna mmoja mweny tatzo la akili
Huko ni kukariri, kukosoa bila kutoa mbadala ni upumbavu na wendawazimuMm hat cjasoma ulichoandka ila wapo weng sana,,kwa nn isikosolew? SKU ukiona kla kitu watu wanakuunga mkono jua bas kati yenu na hao wanao kuunga mkono kuna mmoja mweny tatzo la akili