Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Waambie mkuu sijui kwa nini hawasikii
 
Mbona wewe ndio unamsemea sasa. Ungemuacha Aseme Mwenyewe!
 
Tumekuelewa ulichomanisha, basi sawa akichoka aturudishie team yetu isije ikaanza kupitia kipindi kigumu.
 
Ambaye anasema na hageuki na kubadili kauli yake ni Mungu tu.

Niko ofisi ya kijiji kuulizia million 50.
 
Nimpongeze JPM kwa kurejesha nidhamu ya serikali na kuwafanya watanzania kujivunia utanzania wao.

Nimeshuhudia sura ya JPM katika baadhi ya maeneo ikiwatia watu hofu nakuacha madhambi Yao, yapo mangira sauti yake inapojirudia kwenye ubongo wa muhalifu basi mtenda uhalifu uacha uhalifu wake hasa Wala rushwa.

Ni mtizamo wangu kuwa pesa ni moja ya kitu kinachoshikwa na watu wengi wa umri mbalimbali hivyo SURA YA JPM IKIWEKWA KWENYE NOTI MOJAWAPO KATI YA ELFU MOJA, TANO AU KUMI itasaidia kuwakumbusha watumiaji wa pesa hiyo kuwa ni fedha halali kwa malipo halali.....
 
Basi tudai na viongozi waliopita sura zao ziwekwe kwenye noti,nao pia walifanya mazuri
 
Kwani Noti Zilizopo Hivi Sasa Si Fedha Halali????? Au Ndio Mahaba Yamezidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…