Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Tunaambiwa kuwa Nyerere hakuwa akipenda sifa za kijinga. Sasa sijui awamu ya 5 kama wanaendekeza ushauri wa kijinga.
 
Kwa upuuzi huu kuendelea kwa tanzania hii labda mpaka tufe wote tuliopo sasa.au wapuuzi kama huyu aloleta hii hoja mfu namna hii waishe wote.
 
Hili wala sio wazo lako, hii ni mipango ya jiwe/kichaa na watu wake. Wameshafanya maamuzi wewe umepewa tu kazi ya kulileta ili kupima upepo
 
Hapana. Bora tutumie dolari tu kuliko yenye picha ya huyo malaika wa shetani.
Oh God, kwa nini nimecomment sasa!!??
 
Noti itakayowekwa picha ya jiwe naahid sintoitumia, kama umetumwa kupima upepo mwambie atatumia yeye na familia yake
 
Kule Arumeru aliyehusika kuwahonga madiwani wa chadema ili wahamie ccm, kisha akapandishwa cheo ni kwa sababu picha za JPM haikuwepo kwenye noti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…