Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kwaya nyingine ya mapambio.
Wiki iliyopita tulisikiliza mapambio toka kwaya ya Tumbo kwanza, inayoundwa na ma Propesa wetu maarufu kwa kupofushwa na njaa endelevu.
utakuta hapo ulipo una certificate ambayo uli disco ka mara nne ya tano ukafaulu na ukakata tamaa eti leo unadharau maprofesa aibu saana
 
Hivi wenzetu huwa mnagawa uhai na Mungu au hii jeuri ya mtu mzee kumpa uhakika wa kuishi muda wote huu bila kufa mnaitowa wapi?
Kufa hata Mtoto aliye zaliwa leo aweza kufa
Nakama unawaza hilo
Usingeweka pesa benk au kwenyesim
wakati huijui kesho utakuwepo!!
Magu mpaka 2025
 
utakuta hapo ulipo una certificate ambayo uli disco ka mara nne ya tano ukafaulu na ukakata tamaa eti leo unadharau maprofesa aibu saana
Siku hao mapropesa wakiamua kuanza kutumia elimu na akili yao kufikiri, kutafakari na kushiriki bila unafiki katika kutatua matatizo yanayokwamisha usitawi maendeleo ya 'wananchi', nitaanza kuwaheshimu. Sawa Msomi mwenzao.
 
kumbe una akili sema ushabiki tuuu
 
Sikuwahi kujua kwamba Magufuli anamuogopa Membe kiasi hiki...
Hahaha, kuanzia juzi nimecheka hadi nguvu zimeniishia aiseee!
Hilo ndio lilikuwa swali langu kuwa Membe kweli na gemge lake Magufuli na serikali yake tumwogope.Siamini kwa kweli so nahisi hata mimi nikiibuka sasa watatetemeka jamani .Ila bado naandelea kusoma zaburi ya 43 for 40 days mpaka kieleweke.Tunapambana kwa roho na Mungu ndio tunayemshukuru kwa kila jambo.Amen
 
AAC77AA4-5957-4704-A20A-43A9CE4A8F0A.png
MILELE WALAHI
 
Back
Top Bottom