Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
acheni kujilisha upepe lets work, tubuni viwanda mkuuTuko kwenye issue ya mashoga kwanza, serikali kama iko mnara wa Babeli.
utakuta hapo ulipo una certificate ambayo uli disco ka mara nne ya tano ukafaulu na ukakata tamaa eti leo unadharau maprofesa aibu saanaKwaya nyingine ya mapambio.
Wiki iliyopita tulisikiliza mapambio toka kwaya ya Tumbo kwanza, inayoundwa na ma Propesa wetu maarufu kwa kupofushwa na njaa endelevu.
membe anawachora tuu mlivyo mapoyoyoTulieni jamani Membe alikuwa anakohoa tu.
ndo utaelewa kama ni majukumu ya mkeo ama serikali ya ccm....unajiita mwanaume kupambana uwezi kazi kulia lia mitandaoni tuuNaona umeamua kujipa Majukumu ya Mke wangu
Kufa hata Mtoto aliye zaliwa leo aweza kufaHivi wenzetu huwa mnagawa uhai na Mungu au hii jeuri ya mtu mzee kumpa uhakika wa kuishi muda wote huu bila kufa mnaitowa wapi?
Siku hao mapropesa wakiamua kuanza kutumia elimu na akili yao kufikiri, kutafakari na kushiriki bila unafiki katika kutatua matatizo yanayokwamisha usitawi maendeleo ya 'wananchi', nitaanza kuwaheshimu. Sawa Msomi mwenzao.utakuta hapo ulipo una certificate ambayo uli disco ka mara nne ya tano ukafaulu na ukakata tamaa eti leo unadharau maprofesa aibu saana
kumbe una akili sema ushabiki tuuuSiku hao mapropesa wakiamua kuanza kutumia elimu na akili yao kufikiri, kutafakari na kushiriki bila unafiki katika kutatua matatizo yanayokwamisha usitawi maendeleo ya 'wananchi', nitaanza kuwaheshimu. Sawa Msomi mwenzao.
Mbona hujaunga mkono serikali ilipomkana Paul Makonda ?Naunga mkono hoja.
Hata wewe huna uthibitisho wa hiki ulicho kiandikaunaudhibitisho mkuu?? tusimchezee rais ka babu anakazi ngumu saana
Ushabiki gani?kumbe una akili sema ushabiki tuuu
unafikiri ni kazi rahisi kung'oa mfumo uliotafuna taifa more than 20yrs?Hata wewe huna uthibitisho wa hiki ulicho kiandika
kuvuma upepe wa upinzani unavuma!!!Ushabiki gani?
Sikuwahi kujua kwamba Magufuli anamuogopa Membe kiasi hiki...Zile siku mbili zilikuwa mbaya sana kwake
Ukiishaweza kuandika kinaeleweka tutaendelea kuongea.Amenkuvuma upepe wa upinzani unavuma!!!
Hili la Membe wanalo sana tu na halijaisha, tena kuanzia mwakani yule mzee hatakuwa anapata usingizi.Kwani unadhani yameisha? Tunasubiri drama yenu ya mashoga iishe TUANZE kumkumbusha mheshimiwa Membe wajibu wake wa kutukomboa,Na kuwataka mtutajie waliomteka Mo.
Hilo ndio lilikuwa swali langu kuwa Membe kweli na gemge lake Magufuli na serikali yake tumwogope.Siamini kwa kweli so nahisi hata mimi nikiibuka sasa watatetemeka jamani .Ila bado naandelea kusoma zaburi ya 43 for 40 days mpaka kieleweke.Tunapambana kwa roho na Mungu ndio tunayemshukuru kwa kila jambo.AmenSikuwahi kujua kwamba Magufuli anamuogopa Membe kiasi hiki...
Hahaha, kuanzia juzi nimecheka hadi nguvu zimeniishia aiseee!
Umeona ehhngonjera zingekua hizi hizi ooh bora Magufuli asiyekua na makundi....blandazzzz