ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Sawa lakini tumetoka mbali.tunakokwenda Ni pazuri hata ZaidAlishindwa ticha enzi za wajinga, Jamaa yako ataweza enzi za dotcom
Hahaha yaani mwaka wa tatu huu raisi badala adeal na matatizo ya tanzania ye kila siku anataka watu waishi kama mashetani
Raisi kajifungia ndani alafu anataka wawekezaji waje na hela za knigeni....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
2015 mlifanya mistake
hivi nguvu za kumsifia huyu jamaa wenzetu mnazitoa wapi?[emoji15]
Wewe ndo hujui ila mkulima wa kweli analima na anapata mali.ambayo wewe unaweza usimfikieKauli nyingine ni za kijinga kabisa. Hivi anayesema hela inaweza kupatikana kiujanja ujanja aeleze hapa, inapatikanaje? Unaposema watu wanaolalamika walikuwa wanapata hela kwa kupiga deal, ebu fafanua ni vipi mkulima wa mahindi anayelalamika hana pesa kwa sababu mazao yake yamekosa mnunuzi, alikuwa anapiga deal? Au mkulima zamani alipokuwa anauza mazao yake bila ya shoda na kwa bei nzuri ndoyo kupiga deal?
Hii nchi sasa hivi imekuwa ya majungu na uwongo. Viongozi wanapiga majungu na kuwadanganya wananchi. Wapiga debe wa viongozi nao kazi yao kubwa ni majungu na hadaa.
Viongozi wanapofeli kwa sababu mipango yako ilikuwa mibovu badala ya kukiri upungufu wao, wanakimbilia kutamka kuwa wote wanaolalamika ni wapiga deal.
Ukikosa akili na uelewa unaweza kukesha ukiimba kumtetea mtesi wako. Ujinga una gharama kubwa. Unaweza kufa huku unamshangilia anayekuua.hivi nguvu za kumsifia huyu jamaa wenzetu mnazitoa wapi?[emoji15]
ccmchanel mambo?[emoji4][emoji4][emoji4]Tueleze Rais kakufanyaje hadi unaishi kama shetani?
Sijui kuhusu mwili, lakini roho yako inakimbia hasa. Una mashaka kuliko kuku aliyeko kwenye tenga langoni pa kuingia machinjioniMe sio kuwadi me mwananchi Kama wewe kwenye nchi yangu me sio mkimbizi.sawa?
Kwa indicator ipi labda uwe na PhD ya korosho utoelewa, ajae atapata tabu sana kuirudisha kwenye mstariSawa lakini tumetoka mbali.tunakokwenda Ni pazuri hata Zaid
We jamaa vipi?mbona unayotaja ndio Magufuli anayoyafanya hata na zaidiRais ajae Atakuwa na Kazi kubwa sana kuirudisha nchi kwenye mstari huyu kainyosha hadi imepinda na kukatika kabisa,ajae ana Kazi kubwa sana ya kulipa madeni kupunguza deni la taifa,kuinua uchumi mfu, kurejesha tija na morali ya Kazi kwa Watumishi, kuwasukuma ndani wasiojulikana, kujenga demokrasia, kuvutia na kushawishi wawekezaji, kurejesha diplomasia ya kimataifa, kupunguza ttzo la ajira,kuimarisha shillings yetu, kuujenga upya umoja wa kitaifa,kurejesha imani ya vyombo vya dola kwa wananchi, kufukua makaburi yote na kuwasukuma ndani wote waluotumia vibaya Madaraka, vibaya kodi zetu,kukaa kimya juu ya upotevu wa watu,kuinua elimu,kurejesha mifumo ya haki ya kodi, kuifufua Bandari iwe bize kama zamani,nk.Kazi ni kubwa si ya kitoto.Ajae awe na nyota ya Pesa na mwenye BARAKA kila kitu kitakuwa sawa.
ccmchanel mambo?[emoji4][emoji4][emoji4]
Kwa hiyo unabisha kuwa wewe siyo ccmchanel?Loooo[emoji3]
Ukinipa kadi nitakuruhusu uniite hivyo
Japo sikufahamu lakini ulivyoandika tu, una nafasi kubwa sana ya kufundishwa kuliko kuchangia. Wewe unaongelea ndoto, mimi naongelea uhalisia.Wewe ndo hujui ila mkulima wa kweli analima na anapata mali.ambayo wewe unaweza usimfikie
Kwani lazima uchangie thread yangu we ukiiona nilichoandika Ni upuuzi achana nacho usi comment.mbona kuna option easy achana na thread zangu me Ni mwana jf Kama wewe, homosapiens kama wewe.Kama unajua nakukwaza pita hiviiiMkuu, hivi unalipwa Tshs. ngapi kwa siku? Samahani kama swali langu litakukwaza....nataka kujua tu, maana ukiweka wazi malipo yako unaweza ukashawishi na wengine wajiunge, ilimradi mkono uende kinywani, maana hali ni ngumu, hakuna kuchagua kazi.
Tulikuwa na wadau mchana tumejadili ishu mbalimbali za matumizi ya jeshi kwenye shughuli.tumepongeza sanaNdio umetokea kwenye kile kijiwe chenu unachomsifia magu au ndio unajiandaa kwenda hivyo unachanganya nondo kwanza hapa jf?
Wewe ndo hujui ila mkulima wa kweli analima na anapata mali.ambayo wewe unaweza usimfikie
Tulikuwa na wadau mchana tumejadili ishu mbalimbali za matumizi ya jeshi kwenye shughuli.tumepongeza sana
Ok Mimi nililima mbaazi na shamba lingine liwiweza kuotea magunia 20 ya vitunguu.kipindi Hilo gunia kabla halijashika 200000 kwa hiyo nilipiga hela nzuri.kwenye mbaazi ndio nilizinguaJapo sikufahamu lakini ulivyoandika tu, una nafasi kubwa sana ya kufundishwa kuliko kuchangia. Wewe unaongelea ndoto, mimi naongelea uhalisia.
Mwaka huu nimegawa magunia 160 ya mahindi bure kwenye shule jirani kwa sababu hata ukisafirisha ili ukauze unapoteza muda na pesa zaidi.
Do not live in utopian, get to the real world. Better is that who realizes his foolishness than the fool who never recognizes his emptiness.
Ndo hivo kila mtu Ana mawazo yake +misimamo yake+na mienendo yakeKwa uelewa wenu ningeshangaa kama msingepongeza.