Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hahaha yaani mwaka wa tatu huu raisi badala adeal na matatizo ya tanzania ye kila siku anataka watu waishi kama mashetani

Raisi kajifungia ndani alafu anataka wawekezaji waje na hela za knigeni....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

2015 mlifanya mistake

Tueleze Rais kakufanyaje hadi unaishi kama shetani?
 
Kauli nyingine ni za kijinga kabisa. Hivi anayesema hela inaweza kupatikana kiujanja ujanja aeleze hapa, inapatikanaje? Unaposema watu wanaolalamika walikuwa wanapata hela kwa kupiga deal, ebu fafanua ni vipi mkulima wa mahindi anayelalamika hana pesa kwa sababu mazao yake yamekosa mnunuzi, alikuwa anapiga deal? Au mkulima zamani alipokuwa anauza mazao yake bila ya shoda na kwa bei nzuri ndoyo kupiga deal?

Hii nchi sasa hivi imekuwa ya majungu na uwongo. Viongozi wanapiga majungu na kuwadanganya wananchi. Wapiga debe wa viongozi nao kazi yao kubwa ni majungu na hadaa.

Viongozi wanapofeli kwa sababu mipango yako ilikuwa mibovu badala ya kukiri upungufu wao, wanakimbilia kutamka kuwa wote wanaolalamika ni wapiga deal.
Wewe ndo hujui ila mkulima wa kweli analima na anapata mali.ambayo wewe unaweza usimfikie
 
Rais ajae Atakuwa na Kazi kubwa sana kuirudisha nchi kwenye mstari huyu kainyosha hadi imepinda na kukatika kabisa,ajae ana Kazi kubwa sana ya kulipa madeni kupunguza deni la taifa,kuinua uchumi mfu, kurejesha tija na morali ya Kazi kwa Watumishi, kuwasukuma ndani wasiojulikana, kujenga demokrasia, kuvutia na kushawishi wawekezaji, kurejesha diplomasia ya kimataifa, kupunguza ttzo la ajira,kuimarisha shillings yetu, kuujenga upya umoja wa kitaifa,kurejesha imani ya vyombo vya dola kwa wananchi, kufukua makaburi yote na kuwasukuma ndani wote waluotumia vibaya Madaraka, vibaya kodi zetu,kukaa kimya juu ya upotevu wa watu,kuinua elimu,kurejesha mifumo ya haki ya kodi, kuifufua Bandari iwe bize kama zamani,nk.Kazi ni kubwa si ya kitoto.Ajae awe na nyota ya Pesa na mwenye BARAKA kila kitu kitakuwa sawa.
 
hivi nguvu za kumsifia huyu jamaa wenzetu mnazitoa wapi?[emoji15]
Ukikosa akili na uelewa unaweza kukesha ukiimba kumtetea mtesi wako. Ujinga una gharama kubwa. Unaweza kufa huku unamshangilia anayekuua.
 
Rais ajae Atakuwa na Kazi kubwa sana kuirudisha nchi kwenye mstari huyu kainyosha hadi imepinda na kukatika kabisa,ajae ana Kazi kubwa sana ya kulipa madeni kupunguza deni la taifa,kuinua uchumi mfu, kurejesha tija na morali ya Kazi kwa Watumishi, kuwasukuma ndani wasiojulikana, kujenga demokrasia, kuvutia na kushawishi wawekezaji, kurejesha diplomasia ya kimataifa, kupunguza ttzo la ajira,kuimarisha shillings yetu, kuujenga upya umoja wa kitaifa,kurejesha imani ya vyombo vya dola kwa wananchi, kufukua makaburi yote na kuwasukuma ndani wote waluotumia vibaya Madaraka, vibaya kodi zetu,kukaa kimya juu ya upotevu wa watu,kuinua elimu,kurejesha mifumo ya haki ya kodi, kuifufua Bandari iwe bize kama zamani,nk.Kazi ni kubwa si ya kitoto.Ajae awe na nyota ya Pesa na mwenye BARAKA kila kitu kitakuwa sawa.
We jamaa vipi?mbona unayotaja ndio Magufuli anayoyafanya hata na zaidi
 
Ndio umetokea kwenye kile kijiwe chenu unachomsifia magu au ndio unajiandaa kwenda hivyo unachanganya nondo kwanza hapa jf?
 
Wewe ndo hujui ila mkulima wa kweli analima na anapata mali.ambayo wewe unaweza usimfikie
Japo sikufahamu lakini ulivyoandika tu, una nafasi kubwa sana ya kufundishwa kuliko kuchangia. Wewe unaongelea ndoto, mimi naongelea uhalisia.

Mwaka huu nimegawa magunia 160 ya mahindi bure kwenye shule jirani kwa sababu hata ukisafirisha ili ukauze unapoteza muda na pesa zaidi.

Do not live in utopian, get to the real world. Better is that who realizes his foolishness than the fool who never recognizes his emptiness.
 
Mkuu, hivi unalipwa Tshs. ngapi kwa siku? Samahani kama swali langu litakukwaza....nataka kujua tu, maana ukiweka wazi malipo yako unaweza ukashawishi na wengine wajiunge, ilimradi mkono uende kinywani, maana hali ni ngumu, hakuna kuchagua kazi.
Kwani lazima uchangie thread yangu we ukiiona nilichoandika Ni upuuzi achana nacho usi comment.mbona kuna option easy achana na thread zangu me Ni mwana jf Kama wewe, homosapiens kama wewe.Kama unajua nakukwaza pita hiviii
 
Ndio umetokea kwenye kile kijiwe chenu unachomsifia magu au ndio unajiandaa kwenda hivyo unachanganya nondo kwanza hapa jf?
Tulikuwa na wadau mchana tumejadili ishu mbalimbali za matumizi ya jeshi kwenye shughuli.tumepongeza sana
 
Wewe ndo hujui ila mkulima wa kweli analima na anapata mali.ambayo wewe unaweza usimfikie

Kama kilimo kinalipa hivyo mbona ww huendi kulima? Mbona watu wakichaguliwa kwenye madaraka ndio hushangilia kuwa wameula na hawashangilii kwenda kulima?
 
Japo sikufahamu lakini ulivyoandika tu, una nafasi kubwa sana ya kufundishwa kuliko kuchangia. Wewe unaongelea ndoto, mimi naongelea uhalisia.

Mwaka huu nimegawa magunia 160 ya mahindi bure kwenye shule jirani kwa sababu hata ukisafirisha ili ukauze unapoteza muda na pesa zaidi.

Do not live in utopian, get to the real world. Better is that who realizes his foolishness than the fool who never recognizes his emptiness.
Ok Mimi nililima mbaazi na shamba lingine liwiweza kuotea magunia 20 ya vitunguu.kipindi Hilo gunia kabla halijashika 200000 kwa hiyo nilipiga hela nzuri.kwenye mbaazi ndio nilizingua
 
Back
Top Bottom