Kashatoa millioni 50 kila kijiji au hakuahidi yeyeKimatendo zaid(gator ahadi Bali anatekeleza kwanza then anawambia alichofanya,hii ndo Siri kubwa ya JPM),hakaliii maneno ,na tena Hana ahadi ya uongo,....!? Kama unajua ahad yake ya uongo fungukaa....[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1431]
safiHabari mchambuzi
Huyu dogo hajui maskini anacho kiandika muulize anafanya kazi gani ?View attachment 944601
[emoji23][emoji23][emoji23]
G'ombe weweMchicha—->Mbuyu
Uzalendo wake hauna shaka hata kidogo bali baadh ya wateule wake wametumbua wafanyakazi kwa tuhuma za kubambikiza .Kwangu mimi,J.P.M ni Rais wangu wa nguvu.Sawa ana baadhi ya makosa kama mliyonayo baadhi yenu,ila n lipi,umemshauri ewe mtanzania (unaemponda) au umetamka tatizo lako akashindwa kulitatua
watanzania #TUNAYUMBA,this man anapractice scientific politics wala Hana propaganda hata kidogooo...
#ipo siku MTAMMISS... nawambien.... maana kakusanya vya kutosha,na huyo atakae fata a”ki”wa mlaji,mtakubali....
Kwenye keyboard yako unatumia lugha gani?
Kikweli sijakuelewa hata kidogo