Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Screenshot_20181124-092048.jpeg

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kimatendo zaid(gator ahadi Bali anatekeleza kwanza then anawambia alichofanya,hii ndo Siri kubwa ya JPM),hakaliii maneno ,na tena Hana ahadi ya uongo,....!? Kama unajua ahad yake ya uongo fungukaa....[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1431]
Kashatoa millioni 50 kila kijiji au hakuahidi yeye
 
Hajawahi kutokea rais jembe kama hyu, mzalendo wa kweli na mpenda maendeleo, hakika watanzania tuna chakujivunia. Heko mr president.
 
Kwangu mimi,J.P.M ni Rais wangu wa nguvu.Sawa ana baadhi ya makosa kama mliyonayo baadhi yenu,ila n lipi,umemshauri ewe mtanzania (unaemponda) au umetamka tatizo lako akashindwa kulitatua
watanzania #TUNAYUMBA,this man anapractice scientific politics wala Hana propaganda hata kidogooo...
#ipo siku MTAMMISS... nawambien.... maana kakusanya vya kutosha,na huyo atakae fata a”ki”wa mlaji,mtakubali....
Uzalendo wake hauna shaka hata kidogo bali baadh ya wateule wake wametumbua wafanyakazi kwa tuhuma za kubambikiza .
 
Ni huyu huyu ambaye hajapandisha maslahi ya wafanyakazi kwa miaka mitatu?Ni huyu huyu ambaye amavunja record ya kutoajiri?Ni huyu huyu aliyescoop pesa ya wastaafu ili zikajengee airport Chato pamoja na viwanda?Ni huyu huyu aliyepoteza 1.5Trilioni hadi leo hazijulikani zilipo?Ni huyu huyu asiyependa kukosolewa?ni huyu huyu ........
Kwangu mimi atabakia kuwa the best president kwa kutugawa kikabila na kiitikadi,kwangu mimi atabakia kuwa the best president kwa kuharibu uchumi wa nchi hii,kwangu mimi atabakia kuwa the best president anayejali vitu kuliko utu na kwangu mimi huyu ni the beast president
 
Back
Top Bottom