Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania


Kwanini huu ' Uzi ' wako usingeuanzisha na ile ' ID ' yako tunayoijua wengi na pia tuliyoizoea Mkuu hadi umeamua uje ujifiche na hii? Unaogopa nini na kwanini hujiamini halafu ukizingatia Wewe ni Mtoto wa ' Kiumeni ' kabisa?
 
Rubbish
 
Tanzania inakuwa nchi ya kwanza kununua Air bus 220-300 barani Afrika na hii inatokana na juhudi binafsi za mh Rais Magufuli katika kuhakikisha Tanzania inajitangaza kimataifa.
Nategemea safari hii vyama vya upinzani na hasa Chadema vitaonyesha ushirikiano na uzalendo ikiwa ni pamoja na kuachana na undumilakuwili wa kujipendekeza kwa mabeberu wa ulaya.
Tanzania News magazine!
 
Sawa hilo sio issue....yoyote anaweza akaagiza ndege kama hiyo without andiko mradi...issue kubwa pesa kaitowa wapi kategeneza vyanzo vipya kupata hiyo pesa ya kununulia ndege..kama ni vyanzo ni vile vile...labda tumpe pongezi za kua namaamuzi magumu ya kuingia biashara nyeti bila strategic and master plan.
 
Huyu mzee nimemfuatilia tangu ameingia madarakani ni zaidi ya balaa...Miradi inayotekelezwa na Serikali yake haijawahi tokea nchini.

Hv unakumbuka wakati anaingia madarakani ? Alipoanza kutumbua kwa kwenda mbele. Akarudisha nidhamu katika Ofisi za umma. Ubadhirifu wa mali za umma kwa kiasi kikubwa ukakoma. Fedha za Magufuli zikaanza kuonekana za moto(nomaaaa)

Phase 2 ikafuata kwa utekelezaji wa miradi ya viwango na kwa ya Speed ya Mwanga. Yaani ni mwendo wa bandika bandua. Akipiga Fly over Tazara kule Ubungo Flyover inaendelea. Akipiga miradi ya Afya kule anapiga miradi mikubwa ya elimu. akinunua ndege kubwa na za kisasa kule anaibana mifisadi hadi inatamani ikimbie nchi (Nyoosha mzee mwenyewe)

Katika historia ya nchi hii haijawahi tokea kupata Rais mtekelezaji wa namna hii. Nasema haijawahi tokea asilani katika historia ya Tanzania. Wapingaji hawatakosekana. Wataongezeka tu...Ni mwendo wa kuongeza speed...wasiturudishe nyumaa..Kaza mwendoo Mzeeeeeeee
 

Haya wahi ujira wako wa bk7 fasta.
 
Sawa kachukue buku saba yako
 

Subiri sasa wenye Visununu / Hila / Ngendembwe na Husuda waje watiririke na waserereke kinyume na ulivyokongole / ulivyopongeza Wewe hapa.
 
Usidanganye watu hapa, Watumishi wa umma wanalia na Maslahi duni, Wastaafu wanalia, ajira hakuna, Uchumi haueleweki maduka ya biashara yanafungwa, madawa mahospitslini halo si nzuri. Watu wanapotea na kutekwa na wahisika wa matukio hawajulikani.
Hizo sifa unazozitoa unalipwa kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…