Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
hakuna mahali udkteta ulifanikiwa hapa dunianiWasiokuwa na adabu kama wewe mtapata tabu sana.
hakuna mahali udkteta ulifanikiwa hapa duniani
wait and see idiot
2020 ni MembePamoja na harakati ya kutaka kumkatisha tamaa Mwenyekiti wa CCM katika kampeni zinazoendeshwa na mafisadi, wakwepa kodi, wavivu, waliotumia madaraka vibaya ndani ya chama cha CCM ni uhakika kuwa Mwenyekiti John Pombe Magufuli ataweza kuvuka ama kushinda mapambano. Rais Magufuli ameonyesha ujasiri wa hali ya juu katika kujenga Tanzania yenye usawa katika maisha ya kila siku.
Rais Putin wa Urusi alipochukua madaraka alikutana na changamoto nyingi hata za Kiuchumi lakini leo Urusi baada ya mafisadi na wapiga dili kukimbilia nchi za magharibi uchumi wa Urusi umeimarika kwa kiasi kikubwa.
Nimeamini kweli nchi hii sehemu kubwa ya wanasiasa wa upinzani wapo kwa maslahi maalum sio kwa ajili ya maslahi ya taifa letu, inawezekanaje tatizo ndani ya CCM na wao wawe mstari wa mbele katika kutetea mwanachama mmojawapo wakati wao sio wanachama wa chama hicho.
Mwenyekiti John Pombe Magufuli na Katibu Bashiru chapeni kazi historia ya nchi itawakumbuka kwa kazi nzuri.
Kidumu chama cha mapinduzi.
Pumbafuu wewe uliyosubiri kupiga diliPumbafuuu
Membe amewashika koniPumbafuu wewe uliyosubiri kupiga dili
Kumuunga mkono maana yakeWakuu nimeanzisha uzi maalumu wa kuunga mkono juhudi za raisi Magufuli za kutuletea watanzania maendeleo, tuendelee kumuombea raisi wetu mpendwa
Reli ya standard gage, kufufua shirika la ndege, kununua korosho, kujenga vituo vya afya, kuongeza barabara za lami nchini, kudhibiti rushwa na ufisadi, kuleta uwajibikaji kwa wafanya kazi wa umma, usisahau ndege alizo nunua , elimu bure,na mengine mengi,Kumuunga mkono maana yake
1 wafanyakazi wasingezwe mishahara?
2 Wasipandishwe madaraja?
3 Wastaafu walipwe 25% ya mafao?
4...
Mie singi mkono hayo. 2020 Kazi+Bata.
Hayo yoote ulioyataja hayafanyi mkono uende kinywani, wala hayamhusu moja kwa moja mnyonge 2020, ni ktafuta sifa tu. Kazi+BataReli ya standard gage, kufufua shirika la ndege, kununua korosho, kujenga vituo vya afya, kuongeza barabara za lami nchini, kudhibiti rushwa na ufisadi, kuleta uwajibikaji kwa wafanya kazi wa umma, usisahau ndege alizo nunua , elimu bure,na mengine mengi,
kuwa mzalendo na nchi yakoHayo yoote ulioyataja hayafanyi mkono uende kinywani, wala hayamhusu moja kwa moja mnyonge 2020, ni ktafuta sifa tu.Kazi+Bata
Kha! Kukubali ujinga ndio uzalendo?kuwa mzalendo na nchi yako