Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kataa utumwa penda nchi yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
time will tellMlizoea vya bure bure etieh! Na bado mtapata tabu sana.
Sijasikia mtu mwenye kesi ya hujumu uchumi/ufisadi akinyolewa mpk sasaViongozi wa upinzani wako gerezani kwa kufanya kazi yao, lakini wezi na wabadhirifu wa mali ya umma wako maofisini na mitaani kwenye magari ya kiyoyozi kwa gharama za mlalahoi; na wako huru kabisa na hilo ndio linakusukuma kumwaga pongezi?!
Anyway; ukikua utaelewa na utajutia akili yako ya usaa!
Wakuu huu uzi wa kusifia mafanikio haya makubwa ya mkuu mtawala wetu.Lawama malalamiko pelekeni pengine.Hivi wale waliyokuwa wanapiga kila dk mln 7 kesi yao imeisha Je?
Ova
Ohhh ok okWakuu huu uzi wa kusifia mafanikio haya makubwa ya mkuu mtawala wetu.
Wafundishe wawe na discpline na kufuata sheria. Upinzani sio uhuni wakilijua hilo basi watakuwa Huru!Viongozi wa upinzani wako gerezani kwa kufanya kazi yao, lakini wezi na wabadhirifu wa mali ya umma wako maofisini na mitaani kwenye magari ya kiyoyozi kwa gharama za mlalahoi; na wako huru kabisa na hilo ndio linakusukuma kumwaga pongezi?!
Anyway; ukikua utaelewa na utajutia akili yako ya usaa!
Wafundishe wawe na discpline na kufuata sheria. Upinzani sio uhuni wakilijua hilo basi watakuwa Huru!
Kiongozi anachaguliwa ili atende mema kwa nchi na wananchi wake na ndiyo yampasayo. Lakini inapokuwa kinyume chake wananchi wana wajibu wa kunung'unika na hata kukemea. Maghufuli ni binaadamu kukosea na kutenda mema ni sehemu ya ubinaadamu huo.Ngoja kuche pingapinga watakuja na matongotongo machoni kupinga ugawaji vitambulisho.
Achana na misukule ya LumumbaKiongozi anachaguliwa ili atende mema kwa nchi na wananchi wake na ndiyo yampasayo. Lakini inapokuwa kinyume chake wananchi wana wajibu wa kunung'unika na hata kukemea. Maghufuli ni binaadamu kukosea na kutenda mema ni sehemu ya ubinaadamu huo.
Shida Nyie hamtaki kupingwaNgoja kuche pingapinga watakuja na matongotongo machoni kupinga ugawaji vitambulisho.