Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Unawekaje Pamoja Mzalendo Mandela na Vibaraka Wa ACACIA?
They Once Called Mandela a Terrorist

Image: Flickr, UNIS Vienna

What’s the difference between a liberation movement and a band of terrorists? The simple answer – the one that most often influences policy decisions – is point of view.
 
Mkombozi wa wanyonge na raisi ajae 2020
_102871751_gettyimages-901533104.jpg

"Hii ni nchi yetu sote na sio mali ya CCM"
 
Ndege mbn unazinunua kwa hao unawo waita mabeberu!

Ova
Nakugongea "like" sio kwa comment hii bali kwa kukuona wewe ni jamii ya wale wavukao mto mara bila kuchukua tahadhali dhidi ya mamba!
 
Nimeiandaa Bendera ya UNITED FRONT mwenye kuleta motto na marekebisho anakaribishwa.
maxresdefault.jpg
 
hivyo vitu ulivyoweka hapo juu hata rais asingekuwa yeye vingefanyika,hatakama rais angelikuwa kingwendu sababu vilikuwa tayar kwenye mchakato wa kufanyika hata kabla yeye hajawa rais,acheni kutuletea cheap propaganda.
Vingapi viko kwenye mipango na havijafanyika?
 
Angekuwa jiwe
1.katika serikali watu wangepondwa lakini ukweli dhahiri ni kuwa katika serikali yake wananchi tunaheshimika Sana na ofisi za umma.huduma zinazidi kuboreka
2.katika serikali yake asingekuwa akisikiliza matatizo ya watu lakini amekuwa karibu na nchi yake na wapiga Kura wenye nchi.
3.katika serikali yake angekuwa hafuatilii mambo.jiwe halina uhai.lakini badala yake amekuwa mfuatiliaji wa mambo yote yanayoendelea wizara zote.
Yeye Ni JUA
1.Na ndo maana katika serikali yake amewachoma wasio penda haki ya ukweli.wengi tumewaona mafisadi mpaka Sasa hivi wameunguzwa na Jua.
2.zaidi ya yote amezingatia sheria hasa kwenye uwajibikaji.mambo yanaamuliwa haraka kwa sababu sheria zipo wazi Kwanini taasisi za ndani zicheleweshane mambo.kwa Sasa mwekezaji yoyote aje TU azingatie vigezo na sheria.biashara iko wazi.
3.ameunganisha wengi.jua linakusanya vyote.Magufuli amejitwika jukumu la kuunganisha watanzania maana tulipokuwa tunaelekea ilibaki siasa zitupiganishe.tofauti na hapo ingekuwa my anakuja anakuua anakuchoma hata kisu.jua linatulindia amani
4.nuru inaenda kwenye giza.kila siku hotuba yake moja tu huwa inamaliza waongo wengi tu na ndio maana utapeli unapungua,watu wanazidi kuwa wajanja,biashara nyingi za magendo lazima zife tu ili zile halali zichipue.
 
Unapingana naye naona. Mwenyewe alijiita JIWE mbele ya kadamnasi. Unataka kusema yeye hajitambui?

Acha kumchonganisha Jiwe na sisi kipenzi chake
 
Angekuwa jiwe
1.katika serikali watu wangepondwa lakini ukweli dhahiri ni kuwa katika serikali yake wananchi tunaheshimika Sana na ofisi za umma.huduma zinazidi kuboreka
2.katika serikali yake asingekuwa akisikiliza matatizo ya watu lakini amekuwa karibu na nchi yake na wapiga Kura wenye nchi.
3.katika serikali yake angekuwa hafuatilii mambo.jiwe halina uhai.lakini badala yake amekuwa mfuatiliaji wa mambo yote yanayoendelea wizara zote.
Yeye Ni JUA
1.Na ndo maana katika serikali yake amewachoma wasio penda haki ya ukweli.wengi tumewaona mafisadi mpaka Sasa hivi wameunguzwa na Jua.
2.zaidi ya yote amezingatia sheria hasa kwenye uwajibikaji.mambo yanaamuliwa haraka kwa sababu sheria zipo wazi Kwanini taasisi za ndani zicheleweshane mambo.kwa Sasa mwekezaji yoyote aje TU azingatie vigezo na sheria.biashara iko wazi.
3.ameunganisha wengi.jua linakusanya vyote.Magufuli amejitwika jukumu la kuunganisha watanzania maana tulipokuwa tunaelekea ilibaki siasa zitupiganishe.tofauti na hapo ingekuwa my anakuja anakuua anakuchoma hata kisu.jua linatulindia amani
4.nuru inaenda kwenye giza.kila siku hotuba yake moja tu huwa inamaliza waongo wengi tu na ndio maana utapeli unapungua,watu wanazidi kuwa wajanja,biashara nyingi za magendo lazima zife tu ili zile halali zichipue.
Mtalemba sana ila mmeshafikia mwisho wenu
 
Watanzania wamefikia hapa na wewe bado unasifia tu...au unahongwa
rat-kebab.jpg
 
Blasphemy!

Badala ya kumsifu na kumtukuza Mungu Muumba wa mbingu na nchi wewe unatukuza mwanadamu.

Kama alivyosema mdau hapo juu jilinde nafsi yako.
 
Angekuwa jiwe
1.katika serikali watu wangepondwa lakini ukweli dhahiri ni kuwa katika serikali yake wananchi tunaheshimika Sana na ofisi za umma.huduma zinazidi kuboreka
2.katika serikali yake asingekuwa akisikiliza matatizo ya watu lakini amekuwa karibu na nchi yake na wapiga Kura wenye nchi.
3.katika serikali yake angekuwa hafuatilii mambo.jiwe halina uhai.lakini badala yake amekuwa mfuatiliaji wa mambo yote yanayoendelea wizara zote.
Yeye Ni JUA
1.Na ndo maana katika serikali yake amewachoma wasio penda haki ya ukweli.wengi tumewaona mafisadi mpaka Sasa hivi wameunguzwa na Jua.
2.zaidi ya yote amezingatia sheria hasa kwenye uwajibikaji.mambo yanaamuliwa haraka kwa sababu sheria zipo wazi Kwanini taasisi za ndani zicheleweshane mambo.kwa Sasa mwekezaji yoyote aje TU azingatie vigezo na sheria.biashara iko wazi.
3.ameunganisha wengi.jua linakusanya vyote.Magufuli amejitwika jukumu la kuunganisha watanzania maana tulipokuwa tunaelekea ilibaki siasa zitupiganishe.tofauti na hapo ingekuwa my anakuja anakuua anakuchoma hata kisu.jua linatulindia amani
4.nuru inaenda kwenye giza.kila siku hotuba yake moja tu huwa inamaliza waongo wengi tu na ndio maana utapeli unapungua,watu wanazidi kuwa wajanja,biashara nyingi za magendo lazima zife tu ili zile halali zichipue.

Kasema mwenyewe kuwa ni jiwe sasa wewe unatuambia nini? Au unamaamisha yeye ni JUHA?
 
Wakuu huyu mheshimiwa wetu, ni Zawadi toka Kwa MUNGU inabidi tuishikirie Kama mtu anavyoshikiria yai twende Nae hadi 235 huenda tukawa na treni kila Mkoa na tukaongoza duniani Kwa kuwa na ndege nyingi kubwa AIRBUS, msiempenda mkuje hapa nasababu zenu za kutompenda ziwe za mashiko
 
Back
Top Bottom