Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Ameshalalamika mara nyingi tu kwamba Urais mgumu. Kama kazi inamshinda anangoja nini? AJIUZULU.
 
Hapa na paswa kumjibu yeye mwenye uwezo wa kutupa katiba mpya kukujibu wewe ni sawa na kukimbiza upepo
huna jipya maana unaonekana hata hujui katiba yenyewe inasemaje hujui hata kipengere gani cha katiba kibadirishwe nyie ndiyo mkiambiwaandamaneni mnafuata mkumbo ukikamatwa na kuuliwa unataka katiba ibadirike kipengele gani hujui sasa ni majanga mnayataka?
 
Amwache CAG afanye kazi zake bila bughudha, aondoe kifungu cha kuzuia CAG asikague madini.

Na aruhusu wananchi tuzipate ripoti za CAG bila bughudha kabisa.

Mzalendo wa kweli haogopi kukaguliwa.
 
Amwache CAG afanye kazi zake bila bughudha, aondoe kifungu cha kuzuia CAG asikague madini.

Na aruhusu wananchi tuzipate ripoti za CAG bila bughudha kabisa.

Mzalendo wa kweli haogopi kukaguliwa.
Madini ATCL na TANROADS
 
Unataka ligi maana najua ujui ila unataka kujifanya unajua pole endelea kukomaa ni bando lako tu.
siyo nataka ligi muangaliege na mambo ya kushabikia siyo unashabikia kitu ambachohukijui kisa watu wengi wanataka katiba mpya wewe hujui hata unataka badiliko gani kwenye katiba pole sana
 
Write your reply...Kukomesha mihazara ya kidini.Yaani sasa hivi kama awamu ya kwanza bado bongo flava na uvutaji bangi.
 
Hasa kwenye mitandao, kuanzia "Shangazi", Miss Sarungi, Miss Ndosi, TLS (ndio), na "the so called" wanaharakati wa "Demokrasia" pamoja na vyama karibu vyote vya ukinzani wanakereka wakikusikia unayapenda na kuyazungumzia mambo haya mazuri, rais wetu JP Magufuli anayofanya, wanakunyamazisha kistaarabu kwa kuongelea swala la uhuru wa habari na demokrasia nchini, wale wachache wasiokuwa na hoja watakimbilia matusi ya kutisha!
Ila JPM hasa kafanya nini? Wanachama wake wanadai kwa miaka 3 tu chini ya utawala wake..
  • Kwa kuondoa wafanyakazi hewa na wenye vyeti feki, amelinusuru Taifa kuibiwa na wale wajanja Bilioni 378...
  • Amepunguza kwa kiwango kikubwa rushwa iliyokuwa imetawala kwenye kila sekta nchini...
  • Kajitahidi kuisafisha TRA...kwa kufukuza na kuwashtaki wahusika...
  • Kajitahidi kulinda rasilimali na maliasili zetu...
  • Migodi iliyokuwa ikiingiza Bilioni 300 huko nyuma kwa kipindi cha miaka 10 sasa imeingiza Bilioni 194 kwa 2017/18 tu!
  • Amepunguza sana ile misafara iliyokuwa haina tija huko na kuokoa mabilioni..
  • Huko nyuma kabla ya utawala wake, mapato ya kodi kwa mwaka yalikuwa Trilioni 9, ila sasa yamefikia Trilioni 14!
  • Amekaribisha wawekezaji nchini wasiopunguwa 3000!
  • Amelifufua shirika la ndege (ATCL) na kununua ndege zisizopunguwa 9!
  • Na kwa sasa serikali yake inawekeza siyo chini ya $62m kwa ajili ya bajeti hiyo kila mwaka!
  • Tukiingia kwenye miundo mbinu ndiyo usiseme...
  • SGR
  • Kilometa 19.2 barabara ya Kimara...
  • Serikali yake imesaini mkataba kwa kuzalisha umeme Fufiji (HEP) plant ambao unategemea kuzalisha 2,115!
  • Ufunguzi wa ujenzi wa daraja la Tanzanite..
  • Uwanja wa ndege (Terminal 3)..
  • Barabara kem kem na madaraja ya kufa mtu...
Lakini bado tunalalamika! Hasa swala la demekorasia, wakati TZ tofauti na nchi zingine kadhaa kuna makampuni ya magazeti yasiyopunguwa 200 na vituo vya radio na TV pia visivyopunguwa 200! Uo uhuru wa demekrasia hasa na kujieleza tunaoulalamikia ni upi?!
Acha porojo mbona hali ni mbaya zaidi kuliko enzi za upigaji,
 
tutampima kwa matokeo kama vifaa vya kutosha mahospitalini, madawa ya kutosha, wafanyakazi wa kutosha hasa elimu na afya, vitendea kazi vya kutosha mashuleni, wanafunzi wenye sifa elimu ya juu wote wanapata mikopo, barabara nzuri, maji salama, umeme wa uhakika, uchumi wa mtu mmoja mmoja umekua n.k hatutampima kwa ziara maofisini
kwa uwezo wa nchi wa BUDGET ya 40%?? Binafsi nitampima kama ataongeza pato la taifa kuwa zaidi ya 50% ya budget ya nchi.
Hivyo vingine ni too much ujamaa/ujima
 
Ningekuwa ninaruhusiwa kutoka tathim ningetoa kama ifuatavyo
1. Huduma Kwa wananchi wanyonge 99%
2. Miundo mbinu 89%
3. Maamuzi magumu 101%
4. Kupokea ushauri 100%
5. Michezo 40%
6. Kukubalika CCM 58%
7. Wanafiki wanaokufuata kama yuda Iskariote (wanafiki) alivyofanya 78%
8. Uhuru wa demokrasia nchini 15%
9. Siasa za kimataifa na kukubalika 90%
10. Wapinzani kujifanya hawakuelewi lakini wanakuelewa 79%
11. Huduma Kwa wananchi bomoa bomoa 50%
 
Mimi kitaaluma ni mhandisi naelewa uhandisi japo sijawahi kuzungumzia uhandisi humu hata kidogo

Kimsingi nchi maskini kama yetu inahitaji nishati nyingi na yakutosha

Kikwete ameimba sana ngonjera ya mchuchuma na liganga hatujaona kitu ngonjera zilizoanza tangu enzi za rais mstahafu benjamin willium mkapa jembe langu

Tukaja kwenye gesi ya mtwara hakuna mabadiliko halisi tunayoyaona kama watanzania

huu mpango wa stiglers gorge wa mh magufuli ukitengemaa na kusimama basi kumkosoa kwangu kutakoma hapo !!!

Hakika huu utakuwa ni ukombozi kwa watanzania hususani maskini!!

Viva jpm
Viva ccm

Ila kama hiyo peoject itasimama

Mambo ambayo sitayakubali kamwe kwa utawala huu ni haya

1.demokrasia
2.makundi maalum kuminywa stahiki zao halali
3.kutekana Tekana na kupigana pyu pyupyu
4.wanasiasa kuhama vyama kishamba shamba
5.kukusifusifu sehemu ambayo hata huitaji masifa kimsingi masifa yanashusha hadhi hayapandishi waambie wanaokuzunguka waache mtindo WA kukusifusifu halafu mbaya zaidi wanakusifu kishamba haustahili sifa zao za kinafiki bora cc tunaokukosoa kwa haki kuliko wanaokusifu kinafiki
Ila ukitoa hayo hapo juu mh rais John Joseph pombe magufuli I personally love you!!!!

Muda huu naamini umepumzika baada ya siku nzima ya kulijenga taifa!!


Be blessed na usiku mwema mh rais wangu!!!
 
Back
Top Bottom