usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,898
huna jipya maana unaonekana hata hujui katiba yenyewe inasemaje hujui hata kipengere gani cha katiba kibadirishwe nyie ndiyo mkiambiwaandamaneni mnafuata mkumbo ukikamatwa na kuuliwa unataka katiba ibadirike kipengele gani hujui sasa ni majanga mnayataka?Hapa na paswa kumjibu yeye mwenye uwezo wa kutupa katiba mpya kukujibu wewe ni sawa na kukimbiza upepo
Madini ATCL na TANROADSAmwache CAG afanye kazi zake bila bughudha, aondoe kifungu cha kuzuia CAG asikague madini.
Na aruhusu wananchi tuzipate ripoti za CAG bila bughudha kabisa.
Mzalendo wa kweli haogopi kukaguliwa.
Madini ATCL na TANROADS
Come back nigga, we waiting for you.
siyo nataka ligi muangaliege na mambo ya kushabikia siyo unashabikia kitu ambachohukijui kisa watu wengi wanataka katiba mpya wewe hujui hata unataka badiliko gani kwenye katiba pole sanaUnataka ligi maana najua ujui ila unataka kujifanya unajua pole endelea kukomaa ni bando lako tu.
Acha porojo mbona hali ni mbaya zaidi kuliko enzi za upigaji,Hasa kwenye mitandao, kuanzia "Shangazi", Miss Sarungi, Miss Ndosi, TLS (ndio), na "the so called" wanaharakati wa "Demokrasia" pamoja na vyama karibu vyote vya ukinzani wanakereka wakikusikia unayapenda na kuyazungumzia mambo haya mazuri, rais wetu JP Magufuli anayofanya, wanakunyamazisha kistaarabu kwa kuongelea swala la uhuru wa habari na demokrasia nchini, wale wachache wasiokuwa na hoja watakimbilia matusi ya kutisha!
Ila JPM hasa kafanya nini? Wanachama wake wanadai kwa miaka 3 tu chini ya utawala wake..
Lakini bado tunalalamika! Hasa swala la demekorasia, wakati TZ tofauti na nchi zingine kadhaa kuna makampuni ya magazeti yasiyopunguwa 200 na vituo vya radio na TV pia visivyopunguwa 200! Uo uhuru wa demekrasia hasa na kujieleza tunaoulalamikia ni upi?!
- Kwa kuondoa wafanyakazi hewa na wenye vyeti feki, amelinusuru Taifa kuibiwa na wale wajanja Bilioni 378...
- Amepunguza kwa kiwango kikubwa rushwa iliyokuwa imetawala kwenye kila sekta nchini...
- Kajitahidi kuisafisha TRA...kwa kufukuza na kuwashtaki wahusika...
- Kajitahidi kulinda rasilimali na maliasili zetu...
- Migodi iliyokuwa ikiingiza Bilioni 300 huko nyuma kwa kipindi cha miaka 10 sasa imeingiza Bilioni 194 kwa 2017/18 tu!
- Amepunguza sana ile misafara iliyokuwa haina tija huko na kuokoa mabilioni..
- Huko nyuma kabla ya utawala wake, mapato ya kodi kwa mwaka yalikuwa Trilioni 9, ila sasa yamefikia Trilioni 14!
- Amekaribisha wawekezaji nchini wasiopunguwa 3000!
- Amelifufua shirika la ndege (ATCL) na kununua ndege zisizopunguwa 9!
- Na kwa sasa serikali yake inawekeza siyo chini ya $62m kwa ajili ya bajeti hiyo kila mwaka!
- Tukiingia kwenye miundo mbinu ndiyo usiseme...
- SGR
- Kilometa 19.2 barabara ya Kimara...
- Serikali yake imesaini mkataba kwa kuzalisha umeme Fufiji (HEP) plant ambao unategemea kuzalisha 2,115!
- Ufunguzi wa ujenzi wa daraja la Tanzanite..
- Uwanja wa ndege (Terminal 3)..
- Barabara kem kem na madaraja ya kufa mtu...
Acha porojo mbona hali ni mbaya zaidi kuliko enzi za upigaji,
True wapigaji hawataki kukaguliwa,Ni kweli kwa sababu wapigaji wamezuiwa mtaionaje pesa? Lazima kulialia sana
Why km sio upigajiATCL na Tanroads hajazuia.
Kwenye madini sheria mpya iliyotungwa 2017/2018 haimruhusu CAG kukagua huko.
CAG kakataa kuwa kasuku,MTU anaesali uangalia kesho yakeAmwache CAG afanye kazi zake bila bughudha, aondoe kifungu cha kuzuia CAG asikague madini.
Na aruhusu wananchi tuzipate ripoti za CAG bila bughudha kabisa.
Mzalendo wa kweli haogopi kukaguliwa.
kwa uwezo wa nchi wa BUDGET ya 40%?? Binafsi nitampima kama ataongeza pato la taifa kuwa zaidi ya 50% ya budget ya nchi.tutampima kwa matokeo kama vifaa vya kutosha mahospitalini, madawa ya kutosha, wafanyakazi wa kutosha hasa elimu na afya, vitendea kazi vya kutosha mashuleni, wanafunzi wenye sifa elimu ya juu wote wanapata mikopo, barabara nzuri, maji salama, umeme wa uhakika, uchumi wa mtu mmoja mmoja umekua n.k hatutampima kwa ziara maofisini