Mgao upo ila hawatangazi.mkuu since Mh magufuli aingie lini kulikuwa na mgao wa umeme
Habari wakuu,
Kama tuna kumbukumbu kidogo miaka ya nyuma tatizo la mgao wa umeme lilikuwa kama kansa inayoitafuna nchi hii nchi ilikuwa haimalizi mwaka bila kuwa na mgao wa umeme mara maji Mtera yamepungua mara hivi mara vile yani zilikuwa sarakasi zisizokuwa na mwisho kiasi cha kwamba wajanja wacheche walijinufaisha kupitia tatizo la upungufu wa umeme.
Tumeshuhudia mikataba mingi mibovu iliyoitikisa nchi na kulitia taifa aibu na hasara ya hali ya juu. Tumeshuhudia mikataba kama Richmond na Escrow ikiingizia taifa hasara kubwa sana na kusababisha baadhi ya mafisadi kama mzee lowassa kujiudhulu na baadae kukimbilia katika CHADEMA baada ya kutambua hakuna nafasi ya madudu chini ya mh rais Magufuli.
Tangu utawala wa awamu ya tano uingie madarakani zaidi ya miaka mitatu nyuma, suala la mgao wa umeme limekuwa historia.
Mh. Rais amejitahidi sana kumaliza tatizo hili hivyo kupelekea kuleta unafuu kwa viwanda ambavyo viilikuwa vinatumia gharama kubwa kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta pia kuwaondolea hasara waliokuwa wanapata wafanyabiasha ndogo ndogo kama mabutcher, wauzaji wa soft drink pamoja na wamama wauza mabarafu na ice cream.
Vijana na wananchi wengi tunakubali sana utendaji wa mh Rais hatuyumbishwi na wazurulaji watanzania tunataka maendeleo
naona na wewe umeingia kwenye group la wapumbavu,mkuu since Mh magufuli aingie lini kulikuwa na mgao wa umeme
Hahaaa.. huo ugonjwa ukoje, Yule mzee alikua na maneno sana.Mtikila aliwahi kusema kuna watu wana ugonjwa wa manyani, na wewe ni mmojawapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakaa ikulu huyo. Halafu suala la maji siku hizi nalo silielewi. Unakuta zinapita siku mbili maji hayatoki tena bila taarifa kama kuna bomba wanatengeneza au vipi. Haswa haswa siku za weekendHuku ninakokaa kila wiki siku mbili au Tatu hatuna umeme siku nzima. Labda kama unakaa Ikulu au hospital ya Taifa. Cha ajabu zamani hata maji yalikuwa hayakatiki siku hizi asubuhi mpaka mchana no water ajabu Sasa sijui tunaenda backward au
Angekuwa karibu tungemkata makofiWe mweupe kabisa kuna watu kigamboni kutwa wanakatiwa umeme FRANCIS DA DON njoo umuweke Sawa huyu
ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hahahaha kweli kabisa ungemshikisha adabu hyu gamba Masenu K MsuyaAngekuwa karibu tungemkata makofi
Afadhali mnaoishi mjini, cc huku kukatika ni kawaida tulishazoea ila hatusemi tuHabari wakuu,
Kama tuna kumbukumbu kidogo miaka ya nyuma tatizo la mgao wa umeme lilikuwa kama kansa inayoitafuna nchi hii nchi ilikuwa haimalizi mwaka bila kuwa na mgao wa umeme mara maji Mtera yamepungua mara hivi mara vile yani zilikuwa sarakasi zisizokuwa na mwisho kiasi cha kwamba wajanja wacheche walijinufaisha kupitia tatizo la upungufu wa umeme.
Tumeshuhudia mikataba mingi mibovu iliyoitikisa nchi na kulitia taifa aibu na hasara ya hali ya juu. Tumeshuhudia mikataba kama Richmond na Escrow ikiingizia taifa hasara kubwa sana na kusababisha baadhi ya mafisadi kama mzee lowassa kujiudhulu na baadae kukimbilia katika CHADEMA baada ya kutambua hakuna nafasi ya madudu chini ya mh rais Magufuli.
Tangu utawala wa awamu ya tano uingie madarakani zaidi ya miaka mitatu nyuma, suala la mgao wa umeme limekuwa historia.
Mh. Rais amejitahidi sana kumaliza tatizo hili hivyo kupelekea kuleta unafuu kwa viwanda ambavyo viilikuwa vinatumia gharama kubwa kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta pia kuwaondolea hasara waliokuwa wanapata wafanyabiasha ndogo ndogo kama mabutcher, wauzaji wa soft drink pamoja na wamama wauza mabarafu na ice cream.
Vijana na wananchi wengi tunakubali sana utendaji wa mh Rais hatuyumbishwi na wazurulaji watanzania tunataka maendeleo
Mgao wa kificho huoAfadhali mnaoishi mjini, cc huku kukatika ni kawaida tulishazoea ila hatusemi tu
Mkuu muulize mtu yeyote anayekaaa tabora. hata leo hii ni kama kuna mtu yupo kwenye switch ,akijisikia anazima,akijisikia anawasha. Mgao ni kimyakimyaHabari wakuu,
Kama tuna kumbukumbu kidogo miaka ya nyuma tatizo la mgao wa umeme lilikuwa kama kansa inayoitafuna nchi hii nchi ilikuwa haimalizi mwaka bila kuwa na mgao wa umeme mara maji Mtera yamepungua mara hivi mara vile yani zilikuwa sarakasi zisizokuwa na mwisho kiasi cha kwamba wajanja wacheche walijinufaisha kupitia tatizo la upungufu wa umeme.
Tumeshuhudia mikataba mingi mibovu iliyoitikisa nchi na kulitia taifa aibu na hasara ya hali ya juu. Tumeshuhudia mikataba kama Richmond na Escrow ikiingizia taifa hasara kubwa sana na kusababisha baadhi ya mafisadi kama mzee lowassa kujiudhulu na baadae kukimbilia katika CHADEMA baada ya kutambua hakuna nafasi ya madudu chini ya mh rais Magufuli.
Tangu utawala wa awamu ya tano uingie madarakani zaidi ya miaka mitatu nyuma, suala la mgao wa umeme limekuwa historia.
Mh. Rais amejitahidi sana kumaliza tatizo hili hivyo kupelekea kuleta unafuu kwa viwanda ambavyo viilikuwa vinatumia gharama kubwa kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta pia kuwaondolea hasara waliokuwa wanapata wafanyabiasha ndogo ndogo kama mabutcher, wauzaji wa soft drink pamoja na wamama wauza mabarafu na ice cream.
Vijana na wananchi wengi tunakubali sana utendaji wa mh Rais hatuyumbishwi na wazurulaji watanzania tunataka maendeleo
Kwahiyo hayo majenereta yanayounguruma Kariakoo na Mbagala ni muziki wa Bongofleva! Usipende kuwasemea usikoishi Tanzania ni kuwa, kama lakini yako ni ya hospitali unabahati.mkuu since Mh magufuli aingie lini kulikuwa na mgao wa umeme
[emoji90]Habari wakuu,
Kama tuna kumbukumbu kidogo miaka ya nyuma tatizo la mgao wa umeme lilikuwa kama kansa inayoitafuna nchi hii nchi ilikuwa haimalizi mwaka bila kuwa na mgao wa umeme mara maji Mtera yamepungua mara hivi mara vile yani zilikuwa sarakasi zisizokuwa na mwisho kiasi cha kwamba wajanja wacheche walijinufaisha kupitia tatizo la upungufu wa umeme.
Tumeshuhudia mikataba mingi mibovu iliyoitikisa nchi na kulitia taifa aibu na hasara ya hali ya juu. Tumeshuhudia mikataba kama Richmond na Escrow ikiingizia taifa hasara kubwa sana na kusababisha baadhi ya mafisadi kama mzee lowassa kujiudhulu na baadae kukimbilia katika CHADEMA baada ya kutambua hakuna nafasi ya madudu chini ya mh rais Magufuli.
Tangu utawala wa awamu ya tano uingie madarakani zaidi ya miaka mitatu nyuma, suala la mgao wa umeme limekuwa historia.
Mh. Rais amejitahidi sana kumaliza tatizo hili hivyo kupelekea kuleta unafuu kwa viwanda ambavyo viilikuwa vinatumia gharama kubwa kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta pia kuwaondolea hasara waliokuwa wanapata wafanyabiasha ndogo ndogo kama mabutcher, wauzaji wa soft drink pamoja na wamama wauza mabarafu na ice cream.
Vijana na wananchi wengi tunakubali sana utendaji wa mh Rais hatuyumbishwi na wazurulaji watanzania tunataka maendeleo
Cjui unaishi nchi gani ndugu.....?Habari wakuu,