Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Hili nadhani pia itakuwa watu wamelisahau.Songa mbele baba sisi tuko nyuma yako...
 
Habari wakuu,

Kama tuna kumbukumbu kidogo miaka ya nyuma tatizo la mgao wa umeme lilikuwa kama kansa inayoitafuna nchi hii nchi ilikuwa haimalizi mwaka bila kuwa na mgao wa umeme mara maji Mtera yamepungua mara hivi mara vile yani zilikuwa sarakasi zisizokuwa na mwisho kiasi cha kwamba wajanja wacheche walijinufaisha kupitia tatizo la upungufu wa umeme.

Tumeshuhudia mikataba mingi mibovu iliyoitikisa nchi na kulitia taifa aibu na hasara ya hali ya juu. Tumeshuhudia mikataba kama Richmond na Escrow ikiingizia taifa hasara kubwa sana na kusababisha baadhi ya mafisadi kama mzee lowassa kujiudhulu na baadae kukimbilia katika CHADEMA baada ya kutambua hakuna nafasi ya madudu chini ya mh rais Magufuli.

Tangu utawala wa awamu ya tano uingie madarakani zaidi ya miaka mitatu nyuma, suala la mgao wa umeme limekuwa historia.

Mh. Rais amejitahidi sana kumaliza tatizo hili hivyo kupelekea kuleta unafuu kwa viwanda ambavyo viilikuwa vinatumia gharama kubwa kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta pia kuwaondolea hasara waliokuwa wanapata wafanyabiasha ndogo ndogo kama mabutcher, wauzaji wa soft drink pamoja na wamama wauza mabarafu na ice cream.

Vijana na wananchi wengi tunakubali sana utendaji wa mh Rais hatuyumbishwi na wazurulaji watanzania tunataka maendeleo

Acha ujinga wa ku generalise, hao vijana wengi waliosema wanakubaliana na utendaji wa jiwe kina nani, no research no right to speak, sheria ya takwimu imeshapita sasa wewe hizo data umepata wapi?????? Tunaomba passport yako tuchunguze uraia wako
 
Huku ninakokaa kila wiki siku mbili au Tatu hatuna umeme siku nzima. Labda kama unakaa Ikulu au hospital ya Taifa. Cha ajabu zamani hata maji yalikuwa hayakatiki siku hizi asubuhi mpaka mchana no water ajabu Sasa sijui tunaenda backward au
 
Anakaa ikulu huyo. Halafu suala la maji siku hizi nalo silielewi. Unakuta zinapita siku mbili maji hayatoki tena bila taarifa kama kuna bomba wanatengeneza au vipi. Haswa haswa siku za weekend
 
Mgao wa umeme (V)
Barabara za lami (V)
Uwajibikaji (V)
Ndege mpyaa (V)
Reli mpyaa (V)
Viwanja vya Ndega (V)
Elinu Bila Malipo (V)
Mikopo ya wanafunzi elimu ya juu (V)
Migogoro ya Ardhi (V)
 
Habari wakuu,

Kama tuna kumbukumbu kidogo miaka ya nyuma tatizo la mgao wa umeme lilikuwa kama kansa inayoitafuna nchi hii nchi ilikuwa haimalizi mwaka bila kuwa na mgao wa umeme mara maji Mtera yamepungua mara hivi mara vile yani zilikuwa sarakasi zisizokuwa na mwisho kiasi cha kwamba wajanja wacheche walijinufaisha kupitia tatizo la upungufu wa umeme.

Tumeshuhudia mikataba mingi mibovu iliyoitikisa nchi na kulitia taifa aibu na hasara ya hali ya juu. Tumeshuhudia mikataba kama Richmond na Escrow ikiingizia taifa hasara kubwa sana na kusababisha baadhi ya mafisadi kama mzee lowassa kujiudhulu na baadae kukimbilia katika CHADEMA baada ya kutambua hakuna nafasi ya madudu chini ya mh rais Magufuli.

Tangu utawala wa awamu ya tano uingie madarakani zaidi ya miaka mitatu nyuma, suala la mgao wa umeme limekuwa historia.

Mh. Rais amejitahidi sana kumaliza tatizo hili hivyo kupelekea kuleta unafuu kwa viwanda ambavyo viilikuwa vinatumia gharama kubwa kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta pia kuwaondolea hasara waliokuwa wanapata wafanyabiasha ndogo ndogo kama mabutcher, wauzaji wa soft drink pamoja na wamama wauza mabarafu na ice cream.

Vijana na wananchi wengi tunakubali sana utendaji wa mh Rais hatuyumbishwi na wazurulaji watanzania tunataka maendeleo
Afadhali mnaoishi mjini, cc huku kukatika ni kawaida tulishazoea ila hatusemi tu
 
Mkuu muulize mtu yeyote anayekaaa tabora. hata leo hii ni kama kuna mtu yupo kwenye switch ,akijisikia anazima,akijisikia anawasha. Mgao ni kimyakimya
 
Habari wakuu,

Kama tuna kumbukumbu kidogo miaka ya nyuma tatizo la mgao wa umeme lilikuwa kama kansa inayoitafuna nchi hii nchi ilikuwa haimalizi mwaka bila kuwa na mgao wa umeme mara maji Mtera yamepungua mara hivi mara vile yani zilikuwa sarakasi zisizokuwa na mwisho kiasi cha kwamba wajanja wacheche walijinufaisha kupitia tatizo la upungufu wa umeme.

Tumeshuhudia mikataba mingi mibovu iliyoitikisa nchi na kulitia taifa aibu na hasara ya hali ya juu. Tumeshuhudia mikataba kama Richmond na Escrow ikiingizia taifa hasara kubwa sana na kusababisha baadhi ya mafisadi kama mzee lowassa kujiudhulu na baadae kukimbilia katika CHADEMA baada ya kutambua hakuna nafasi ya madudu chini ya mh rais Magufuli.

Tangu utawala wa awamu ya tano uingie madarakani zaidi ya miaka mitatu nyuma, suala la mgao wa umeme limekuwa historia.

Mh. Rais amejitahidi sana kumaliza tatizo hili hivyo kupelekea kuleta unafuu kwa viwanda ambavyo viilikuwa vinatumia gharama kubwa kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta pia kuwaondolea hasara waliokuwa wanapata wafanyabiasha ndogo ndogo kama mabutcher, wauzaji wa soft drink pamoja na wamama wauza mabarafu na ice cream.

Vijana na wananchi wengi tunakubali sana utendaji wa mh Rais hatuyumbishwi na wazurulaji watanzania tunataka maendeleo
[emoji90]
 
Cjui unaishi nchi gani ndugu.....?
 
Back
Top Bottom