UKiangalia hapo juu utaona jana mida kama hii nilimwambia mleta mada kwamba hatuna umeme; na hapa ninapoandika kwa mara nyingine hatuna umeme tangia saa 11!Wewe umeleta mambo ya mgao wa umeme watu wanakwambia kwao kuna umeme unaleta mambo ya kunyongana!!
Utaambiwa siyo mgawo ila kwenu hakuna tu umeme!!UKiangalia hapo juu utaona jana mida kama hii nilimwambia mleta mada kwamba hatuna umeme; na hapa ninapoandika kwa mara nyingine hatuna umeme tangia saa 11!
Wanakera sana hawa jamaa! Yaani wangejua damage ambayo tunaipata wala wasingethubutu kuleta mada za kipumbavu kama hizi! Nakumbuka Jmosi iliyopita ilibidi nimdanganya ninayemfanyia kazi kwamba Tanzania kuna heavy rainfall na kwahiyo Internet ipo down sana wakati tatizo lilikuwa umeme! Sijui uongo wangu utadumu kwa muda gani manake hata nikiangalia schedule yangu ya kazi, hadi sasa nilitakiwa nimefanya masaa 12 unusu lakini nimefanya for only 9 hours, nikiwa nyuma kwa saa 3 na ushee and counting!Utaambiwa siyo mgawo ila kwenu hakuna tu umeme!!
Wewe unasema nini?,huku kibamba na probably mbezi tuko gizani tangu saa 4 00 usiku halafu unakuja kusema nini hapa?,kamwambie aliyekutuma hali haiko vizuri hukuHabari wakuu,
Kama tuna kumbukumbu kidogo miaka ya nyuma tatizo la mgao wa umeme lilikuwa kama kansa inayoitafuna nchi hii nchi ilikuwa haimalizi mwaka bila kuwa na mgao wa umeme mara maji Mtera yamepungua mara hivi mara vile yani zilikuwa sarakasi zisizokuwa na mwisho kiasi cha kwamba wajanja wacheche walijinufaisha kupitia tatizo la upungufu wa umeme.
Tumeshuhudia mikataba mingi mibovu iliyoitikisa nchi na kulitia taifa aibu na hasara ya hali ya juu. Tumeshuhudia mikataba kama Richmond na Escrow ikiingizia taifa hasara kubwa sana na kusababisha baadhi ya mafisadi kama mzee lowassa kujiudhulu na baadae kukimbilia katika CHADEMA baada ya kutambua hakuna nafasi ya madudu chini ya mh rais Magufuli.
Tangu utawala wa awamu ya tano uingie madarakani zaidi ya miaka mitatu nyuma, suala la mgao wa umeme limekuwa historia.
Mh. Rais amejitahidi sana kumaliza tatizo hili hivyo kupelekea kuleta unafuu kwa viwanda ambavyo viilikuwa vinatumia gharama kubwa kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta pia kuwaondolea hasara waliokuwa wanapata wafanyabiasha ndogo ndogo kama mabutcher, wauzaji wa soft drink pamoja na wamama wauza mabarafu na ice cream.
Vijana na wananchi wengi tunakubali sana utendaji wa mh Rais hatuyumbishwi na wazurulaji watanzania tunataka maendeleo
wanatokaga mapovu kama vifutu 😀
Habari wakuu kwa muda mchache tangu rais wetu magufuli aingie madarakani amefanya mambo mengi makubwa sana kunaonekana kabisa transformation ya wazi kutoka nchi ya uchumi wa chini kwenda kwenye nchi ya uchumi wa kati.Tumeshuhudia akipambana na rushwa,akipigania maslai mapana ya nchi licha ya kejeli anazopata na vikwazo anavyotengenezewa na mambeberu kupitia wanasias uchwara lakini bado anafany kazi yake ipasavyo.Hongera magufuli umekuwa rais bora kuwahi kutokea afrika mashariki
Ni mambo yapi yanayoifanya nchi yetu kuelekea uchumiwa kati?Habari wakuu kwa muda mchache tangu rais wetu magufuli aingie madarakani amefanya mambo mengi makubwa sana kunaonekana kabisa transformation ya wazi kutoka nchi ya uchumi wa chini kwenda kwenye nchi ya uchumi wa kati.Tumeshuhudia akipambana na rushwa,akipigania maslai mapana ya nchi licha ya kejeli anazopata na vikwazo anavyotengenezewa na mambeberu kupitia wanasias uchwara lakini bado anafany kazi yake ipasavyo.Hongera magufuli umekuwa rais bora kuwahi kutokea afrika mashariki
Raisi wa hovyo kuwahi kutokea.Habari wakuu kwa muda mchache tangu rais wetu magufuli aingie madarakani amefanya mambo mengi makubwa sana kunaonekana kabisa transformation ya wazi kutoka nchi ya uchumi wa chini kwenda kwenye nchi ya uchumi wa kati.Tumeshuhudia akipambana na rushwa,akipigania maslai mapana ya nchi licha ya kejeli anazopata na vikwazo anavyotengenezewa na mambeberu kupitia wanasias uchwara lakini bado anafany kazi yake ipasavyo.Hongera magufuli umekuwa rais bora kuwahi kutokea afrika mashariki