What do you mean,mbona mambo mazuri huyasemi unaita watu majuha,huenda wewe Ni mrundi wa ndutiExcluded then! Yapo yapo tu. Niko kwenye group fulani la wafanyakazi, ndio unaona kuwa nchi hii ni ya ma Lumpen proletariat!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What do you mean,mbona mambo mazuri huyasemi unaita watu majuha,huenda wewe Ni mrundi wa ndutiExcluded then! Yapo yapo tu. Niko kwenye group fulani la wafanyakazi, ndio unaona kuwa nchi hii ni ya ma Lumpen proletariat!
Hongera Sana Mh. Rais. Abarikiwe SanaNaomba kuwasilisha waungwana
Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.
Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele
Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020
Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma
Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama ni kweli, sio habari mpya, kwa kuwa inajulikana kero nyingi zitaenda kutatuliwa 2019/2020 kabla ya uchaguzi. Na hii ni kwa kuwa watawala wanatumia udhaifu wa wananchi kuwapumbaza kwa muda.
Kawaida. 2015 Lowasser alimwaga senti hadharani mbona, mpaka watu wakatambaa na wengine kupiga deck barabara! Umesahau? Au hukuyaona hayo?
Ndoto huwa nzuri sana, hasa zile za kuota huku unatembea. Hongera kwa ndoto nzuri na ya kusisimua hadi umesahau kuwa sio masirahi bali ni maslahiNaomba kuwasilisha waungwana
Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.
Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele
Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020
Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma
Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuwasilisha waungwana

Ameacha kazi awe dalali wa viwanja. Hii kazi ya ualimu unaweza ukaifanya na ukawa dalali pia. Unless umeanzisha real estate company na una mtaji mzuri. Ila kama ni Ile ya kawaida ya kutaka 10% sababu umeonyesha kiwanja kuna changamoto nyingi zinamsubiri atatakiwa azitatue ili afanikiwe.
Heshima yako mstaafu ila acha kutusema sana chaaaa!Excluded then! Yapo yapo tu. Niko kwenye group fulani la wafanyakazi, ndio unaona kuwa nchi hii ni ya ma Lumpen proletariat!
Hizo source zinapatikana kupitia kazi ya serikali ambayo utafanya mradi wowote utakao taka mybe ufugaji kilimo biashara nk ili kuongeza kipato nje ya mshahara.Mshahara mzuri ni wa kujipandishia mwenyewe,pambana utengeneza source zengine za kipato chako..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlisha wadhihaki sana watumishi. Kinachokuwasha juu ya watumishi ni nini hasa?Naomba kuwasilisha waungwana