Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Excluded then! Yapo yapo tu. Niko kwenye group fulani la wafanyakazi, ndio unaona kuwa nchi hii ni ya ma Lumpen proletariat!
What do you mean,mbona mambo mazuri huyasemi unaita watu majuha,huenda wewe Ni mrundi wa nduti
 
Hongera Sana Mh. Rais. Abarikiwe Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tulisha usoma mchezo zamani
ume bak mwaka mmoja ufanyike uchaguzi
kwa hyo
mishahara ita panindishwa
vyeo/madaraja vita(ya) pandishwa
ajira zita anza kutangazwa kwa wingi
mradi tu aonekane ana faa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera ya nini sasa wewe mjinga... hujui uchaguzi umefika?
Twaweza walipatia majinga yako chama gani.
 
Wewe pundamilia unatakiwa usifie hilo swala baada ya kuona salary slip sii hivi hivi tu kindezi ndezi
 
Ndoto huwa nzuri sana, hasa zile za kuota huku unatembea. Hongera kwa ndoto nzuri na ya kusisimua hadi umesahau kuwa sio masirahi bali ni maslahi
 
Nani aliye kuloga?
Unanyimwa haki yako for 4yrs then unataka kupewa unahongeresha?
Alafu mnasema tuna viwanda 3000+?
Pathetic!!!
 

Japo ni tetesi, lakini hili lipo hata kama siyo maradufu ama mara kumi...

Na sababu ni moja tu, CCM ndiyo mtindo wao wa kuongoza kwa njia ya rushwa...

Kwa sababu kama hili limefanyika kweli, hakuna sababu yoyote ya ku - justify maamuzi hayo isipokuwa ni rushwa/hongo kwa watumishi wa umma ya kiaina ili kupunguza malalamiko na ili wawe na moja ya ajenda ktk msimu wa chaguzi kuanzia mwaka huu 2019 na mwakani 2020 kwenye kidunbwedunbwe chenyewe...

Si mishahara tu, hata ajira mpya zitamwagika sana for sure....

Na hii si ktk awamu hii tu, imekuwa hivyo karibu ktk awamu zote japo ktk awamu hii ya tano chini ya Jiwe, ukatili dhidi ya watumishi wa umma ni extremely worse...!!

Na whether we like it or not, wasomi walio ktk sekta ya umma na binafsi ndiyo wanao influence muelekeo wa siasa za nchi hii na hata kulazimisha walioshika dola mara zote kufanya maamuzi ya kijinga ili kulinda nafasi zao ikiwemo kuiba kura baada ya kukataliwa na wananchi....!!

Utafiti wangu usio rasmi unaonesha kuwa, hata member wa JF karibu 95% ni walio ktk public service and few from private sector na miongoni mwao karibu 90 huikosoa na kuishambulia serikali kwa maneno makali sana....

Na hawa hawa ndiyo huieneza "sumu" hii kwa raia wasio na elimu ya uraia ya kutosha juu ya WAJIBU na HAKI zao ktk maeneo yote vijijini na mijini....!

Kamwe, social medias na platforms zingine za mawazo huru ya watu ikiwemo JF nk si ya kudharau hata chembe ktk kuamua mustakabali wa mwenendo wa maisha ya watu kisiasa, kijamii na kiuchumi....!!
 

Ameanzisha kampuni na kusaka partners south africa.. Mie nimetoa mfano tuu sio lazma nawe ufanye ila najua waoga wa maendeleo wako wengi.. Mtu yuko radhi akomae na mshahara wa laki nne hata ukimuonyesha njia.. kisa eti "job security" 😃😃😂😂.. Take risks and die trying or Keep your job and die poor
 
Excluded then! Yapo yapo tu. Niko kwenye group fulani la wafanyakazi, ndio unaona kuwa nchi hii ni ya ma Lumpen proletariat!
Heshima yako mstaafu ila acha kutusema sana chaaaa!
 
Mshahara mzuri ni wa kujipandishia mwenyewe,pambana utengeneza source zengine za kipato chako..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo source zinapatikana kupitia kazi ya serikali ambayo utafanya mradi wowote utakao taka mybe ufugaji kilimo biashara nk ili kuongeza kipato nje ya mshahara.

Pia unaweza fanya vyote mishemishe zako na kazi ya serikali kwa wakati mmoja na mambo yakaenda vzr tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayewatukana watumishi no matter wana weakness zipi huyo ni mpum.bavu wa kutupwa.Mimi binafsi na hata wengi wetu tumesoma shule za serikali toka darasa la kwanza mpaka vyuo vikuu.Pia huduma nyingi za kila siku tunawezeshwa na hao hao.Inawezekana unawatukana watumishi wa umma wakati hata baba yako kakukuza akiwa mtumishi wa umma.
 
Mlisha wadhihaki sana watumishi. Kinachokuwasha juu ya watumishi ni nini hasa?
Endeleeni na miradi yenu achana na watumishi.
Pumbavu na aliye kutuma.
Kampeni zenu peleka kwa wajinga wenzio huko vijijini


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…