Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Naomba kuwasilisha waungwana

Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.

Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele

Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020

Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma

Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiswahili hujui, kuandika hujui. Unachojua ni upashkuna tu!
 
usitoneshe vidonda vya watumishi.acha kuwapa matumaini ambayo hayapo.kwani maraisi wengine waliokuwa wanaongeza mishahara walikuwa hawana mipango mipana ya maendeleo?tuache kuwabeza viongozi waliotangulia kuwa hawakufanya mambo ya maana.acheni tabia hiyo.someni historia ili mpime kazi zilizofanywa na watangulizi wetu.kila kiongozi alioplay part yake.mishahara iko kisheria pia nyongeza za mishahara iko kisheria hivyo tusiwanyanyase watumishi kwa kuvunja sheria kwa sababu tu hawana watetezi.sheria zifuatwe tuache siasa za hovyo za kuwakandamiza watumishi.
 
Kwanini mishahara iongezwe kwa Tija IPI?
Ngoja Uzalishaji uongezeke kwanza,Stiegliers gorge Umeme uzalishwe mapato yaongezeke na Watalii waongezeke at least 2020/2021.
Namuunga Mkono Rais Dr.Magufuli kwa Hili,sio kuongeza Tsh 20,000 Au 10,000.bora achelewe aje kuongeza kikubwa
Naomba kuwasilisha waungwana

Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.

Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele

Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020

Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma

Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mwaka ni mwanzo wa kipindi kile cha uchaguzi..
Ni lazima akili zitakuwa nje ya kichwa!!
 
Umekariri boss au kama hujakariri basi bado huna uzoefu na ulimwengu wa biashara au mishahara. Msemo wako wa take risk and die trying unaonyesha kuwa labda huna hata familia still ni kijana hivyo hujui majukumu' and msemo wa keep your job and die poor Nikukumbushe tu Sio kila mshahara unaanzia na TSH af unaishia na 5 zeros or six. Halafu sijamponda huyo rafk yako nimesema ana changamoto nyingi za kutatua kama atafanya udalali huu wa kupewa 10% na wanunuzi.

Nikukumbushe tu kuwa unatakiwa upime na kuijua thamani yako kiujuzi na kielimu halafu ulinganishe na unachopata bila kujali unakipata kwenye ajira au biashara.

Pia ujue mwisho wako kabla hujaanza kupambana na mwanzo wako. Achana na mawazo ya die trying, una majukumu ya kutatua. Die with success. Na success haipatikani kwenye biashara tu. Kama una elimu nzuri na uzoefu, kuna kampuni zitahitaji skills zako na kukulipa mpaka 215m per year na marupurupu. Ila Kama thamani yako ni ndogo na hauna uzoefu hata kwenye biashara you will end up die trying.

Mkuu shule za kata zimekuharibu.. Yaani kuna misemo inaitwa Metaphor.. Hadhira hupewa jukumu lenye "parable" ili kukidhi fikra halisi kwny muktadha kamili. Yamkini Hutakiwi kubeba kama ulivyo la sivyo utakuwa muhanga wa lawama. Hii inaifanya hadhira yenye IQ kuelewa upesi pasipo kupewa mifano ya kila aina yenye maana mustakabali bali muhtasari hufanywa na ubongo wa hadhira yenyewe. Kutanahabisha mkabala au hasi ya "die trying or die poor" ni kama kuongea kilekile ukidhani fasihi yake si timilifu kumbe wewe mwenyewe umeshindwa kuutimiza ubongo wako.
 
Naomba kuwasilisha waungwana

Katika kipindi cha takribani miaka minne ya Mh.Rais watumishi Wa umma wamekuwa wakilia na kulalamikia nyongeza.

Naomba nikili kuwa si kweli kuwa mh rais aliamua kuzuia nyongeza kwa makusudi Bali ni kutokana na mipango mipana aliyokuwa nayo Mh.Rais katika kuhakikisha taifa linasonga mbele

Ili kuonesha kuwa rais wetu anajali masrahi ya watumishi Wa umma kuna taarifa nimepenyezewa toka chanzo cha kuaminika kuwa kilio cha watumishi Wa umma kitatatuliwa hivi karibuni ambapo Mh .rais JPM atapandisha mishahara ya watumishi Wa umma maradufu kwa mwaka Wa fedha 2019/2020

Naomba nitoe pongezi zangu za dhati kutoka kwenye uvungu Wa moyo wangu kwa Mh. JPM kwa hatua hii ya kuwajali watumishi Wa ummma

Viva magufuli,Magufuli for 2020-2025

Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali mkuu umesema kima cha chini kitakuwa milioni 3?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shule za kata zimekuharibu.. Yaani kuna misemo inaitwa Metaphor.. Hadhira hupewa jukumu lenye "parable" ili kukidhi fikra halisi kwny muktadha kamili. Yamkini Hutakiwi kubeba kama ulivyo la sivyo utakuwa muhanga wa lawama. Hii inaifanya hadhira yenye IQ kuelewa upesi pasipo kupewa mifano ya kila aina yenye maana mustakabali bali muhtasari hufanywa na ubongo wa hadhira yenyewe. Kutanahabisha mkabala au hasi ya "die trying or die poor" ni kama kuongea kilekile ukidhani fasihi yake si timilifu kumbe wewe mwenyewe umeshindwa kuutimiza ubongo wako.
shule za kata zimeanza mwaka upi? Ndo maana nakwambia bado u kijana majukumu machache.
Tafsiri sahihi ni Ile unayoitumia kukupa wewe mafanikio na si vinginevyo. Kiwango cha uelewa hakipimwi kwa terminologies na tafsiri, kinapimwa kwa mafanikio yako binafsi. Na kwa tafsiri yangu If you die trying ni umefeli sema umefeli ukiwa unapambana.
Mkimbiaji aliyeshika namba ya mwisho Ila anapambana kumaliza mashindano ataitwa majina mengi mazuri kama mpambanaji, shujaa n.k lakini si mshindi. Anyway let's agree to disagree. Kwa tafsiri na perception zako you stand to be correct.
 
Watumishi wa umma nchi hii ni wapumbavu sijawahi kushuhudia.
 
Hiyo nyongeza ya mishahara mbona haijaonekana kwenye bajeti ya 2019/2020 inayopendekezwa? Nyongeza hiyo kama ipo ilipaswa ionekane Kwanza kwenye mapendekezo ya 2019/2020.

Anyways, humu kuna maafisa Masuhuli na Budgeting officers watakuja kusema nyeupe na nyeusi kuhusu hilo.
Hakuna kitu kama hicho hawa ni wafanyakazi wanaotamani ndoto zao zitimie.
 
Mhe. Rais tunakuomba sana kwa HESHIMA na TAADHIMA utukumbuke na sisi WASTAAFU. Kipato chetu ni kidogo sana kuweza kumudu gharama za maisha. Wengi wetu tunapata kama Tshs.200,000 kwa mwezi. Usitusahau Mhe. Rais.
 
Back
Top Bottom