Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Jamanai mimi ni ukawa na wala sitaki kusikia neno ccm kwani ndo limeweka mfumo wakufanya wengine tuwe mafukala licha ya kufanya kazi kwa bidii.

Napenda kukili rais ameanza vizuri na sote bila kutafutakiki basi tumuunge mkono kwani anapambana na mijitu iliyojaa choyo na ulafi.

Namshauri azipie sheria zote ili kuweka mfumo wa ksiheria amabao utaondoa watu kutumia taasis kuchuma pesa za watanzania.mfano bodi member wa nssf akimaliza kipindi chake cha miaka mitatu anapewa kiinua mgongo cha milliuoni 500.hii si sawa ndo maana wanatunyanysa wateja wao.kwa hiyo sheria ya kuondoa wizi ya aina hii.

Kila la kheri magufuri kwani ukifanya vizuri tutakuunga mkono na ukichemka tutasema pia
 
Kauza nyumba za serikali na yeye ajitumbue hilo jipu lake.

swissme
 
welcome aboard...tusha take off

sawa kuteoff lakini tukijenga umoja wa kupongezana kwa jema liwe ccm au upinzani basi hapo tutaendelea.kilichokuwa kinaniuzi mimi ni ile hali ya watu wanaiba wazi kabisa lkini ccm mlikuwa hamkemei na badala yake mkawa mnaleta uttezi wa hayo majizi.
 
Kakukabali kutumia ilani ya UKAWA na kutupa nje ilani ya ccm chakavu.sasa kwa nini CCM walikuwa wanabeza upnzani? Sasa wanatumia ilani ya UKAWA.

swissme
 
CCM wanatumia ilani yao kiroho safiiii..... Sema mtumbua majipu kai mix na ya ACT WAZALENDO... aliyokabidhiwa na Mama Mgwhira. UKAWA HAWANA ILANI
 
Ukawa ilani yao imetokea wapi tena,,wakati mgombea urais ni ccm ,makamu cuf na waziri mkuu mbowe wa chadema hiyo serikal.
 
naona kaianza dar kwanza, mpaka aisafishe yooote, ndio sasa aingie mikoani, naomba aende na mwanza napo kuna Mungu watu kule
 
Wadau tunafahamu kuwa rais magufuli anapendwa na watu ila wanaompenda ni wale ambao akilizao zimekaa sawa.....hapa namaajisha kuwa watu wenye uwezo wa kufikiri kwa kina juu ya mambo na changamoto za kijamii.....ni watu wanaopenda kutatuachangamoto ila kwa kujali haki,usawa na maslahi ya watu wengine.....ni watu wanaojali maisha ya watu wengine bila kubagua wala kujiona....ni watu wakweli na hawapendi makuu.....hata kama wanaamua jambo hawapo tayari kubishana na mpumbavu wakiamini kuwa mwisho wa siku ukweli hubaki kuwa ukweli......mara nyingi ni wapole sana wala hawana haraka na maisha....watu wenye akili.....wanaweza kuwa walienda shule au hawakupata fulsa ya elimu hata darasa moja ila wao hubaki kuwa na akili......Hawa ndio watu wanaompenda rais wetu JPM

si kama makanjanja.....watu wasio na akili ya kufikili kitu kwa kina.....wepesi wa kutaka maisha ya haraka pasipo kujali njia za mafanikio husika hasa ya kiuchumi.....hawajali mtu wala mambo ya wengine....si wakweli na huwa hawapendi maendeleo ya wenzao....ni wabinafsi sana wangependa mapesa yoote duniani yawe ya kwao........wanapenda ubishi....wanajisikia...wapotayari kufanya chochote wapate wanachotaka(wapigadili)....ni watu hatari sana......wakiwepo watatu mahala katika kundi la watu kumi watawavuruga saba wema kama hawajakaa sawasawa.......hawatakuja kumpebda magufuli kamwe......na ndiyo maana ulinzi kwa rais wetu tunataka uwe wa uhakika........Tumwombee JPM
 
Sasa hapa umewapasha wale wanajiita wanachama kindakindaki wazee wa matamko wamenuuna tu

sawa tumuombeee
 
Kwa Taarifa Yako Wanaompenda Makufuli Hawaoni Tabu Kumkosoa. "Yes Man" Sucks. Ili Tuendelee. Tunaitaji "No Man." Critisism Is Independent Of Love. Magufuli Hana Hata Siku Mia, Mnaanzisha Mahaba. Mnajisahau Mapema Hivyo. Mapenzi Hayatakiwi Kwenye Kazi.
 
Back
Top Bottom