Wadau tunafahamu kuwa rais magufuli anapendwa na watu ila wanaompenda ni wale ambao akilizao zimekaa sawa.....hapa namaajisha kuwa watu wenye uwezo wa kufikiri kwa kina juu ya mambo na changamoto za kijamii.....ni watu wanaopenda kutatuachangamoto ila kwa kujali haki,usawa na maslahi ya watu wengine.....ni watu wanaojali maisha ya watu wengine bila kubagua wala kujiona....ni watu wakweli na hawapendi makuu.....hata kama wanaamua jambo hawapo tayari kubishana na mpumbavu wakiamini kuwa mwisho wa siku ukweli hubaki kuwa ukweli......mara nyingi ni wapole sana wala hawana haraka na maisha....watu wenye akili.....wanaweza kuwa walienda shule au hawakupata fulsa ya elimu hata darasa moja ila wao hubaki kuwa na akili......Hawa ndio watu wanaompenda rais wetu JPM
si kama makanjanja.....watu wasio na akili ya kufikili kitu kwa kina.....wepesi wa kutaka maisha ya haraka pasipo kujali njia za mafanikio husika hasa ya kiuchumi.....hawajali mtu wala mambo ya wengine....si wakweli na huwa hawapendi maendeleo ya wenzao....ni wabinafsi sana wangependa mapesa yoote duniani yawe ya kwao........wanapenda ubishi....wanajisikia...wapotayari kufanya chochote wapate wanachotaka(wapigadili)....ni watu hatari sana......wakiwepo watatu mahala katika kundi la watu kumi watawavuruga saba wema kama hawajakaa sawasawa.......hawatakuja kumpebda magufuli kamwe......na ndiyo maana ulinzi kwa rais wetu tunataka uwe wa uhakika........Tumwombee JPM