Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Napenda kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kuwapatia magari maafisa elimu wa mikoa. Hii ni hatua nzuri kwa maendeleo ya elimu yetu hapa Tanzania big up.
 
Ungeambatanisha na picha mkuu huenda ni Vimakonda ndio wamepewa..
 
Napenda kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kuwapatia magari maafisa elimu wa mikoa. Hii ni hatua nzuri kwa maendeleo ya elimu yetu hapa Tanzania big up.
Nchi hii tunamfumo mbovu wa elimu hata wakipewa helkopta matatizo yako palepale tunahitaji kuboresha maslahi kwa wafundishaji na kubadili mitaala yetu ya elimu. Mwalimu anasimamia masomo madarasa kama 4 hivi hapo atasahihisha na kuwakagua wanafunzi saa ngapi?
 
Hata Roma haukujengwa siku moja.
 
Napenda kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kuwapatia magari maafisa elimu wa mikoa. Hii ni hatua nzuri kwa maendeleo ya elimu yetu hapa Tanzania big up.
Maafisa Elimu ndiyo wanaofundisha ? Badala yakuwapa motisha Walimu mnapeleka magari.
 
Huu ujinga sijui utaisha lini!? Matumizi ya kawaida na ya msingi elimu, maji,barabara eti pongezi utazani ni hisani!?
 
Hongera mheshimiwa rais kwa uamuzi huo. Kama itawezekana uwapatie walimu angalau pikipiki pia itawapunguzia mzigo wa maisha hasa wale waishio vijijini na wa mjini ukawapatia staff bus kama wafanyakazi wa kada nyingine mfano wa kilimo, mifugo na afya.
 
Nchi hii tunamfumo mbovu wa elimu hata wakipewa helkopta matatizo yako palepale tunahitaji kuboresha maslahi kwa wafundishaji na kubadili mitaala yetu ya elimu. Mwalimu anasimamia masomo madarasa kama 4 hivi hapo atasahihisha na kuwakagua wanafunzi saa ngapi?
Umenena mkuu,shule waalimu wa sayansi wawili tu form one hadi 4 unategemea mini?
 
Big Up Rais Magufuli!

Leo jioni,Jumatatu.

Mmalawi mmoja hivi leo, ameniambia,Wamalawi walimfurahia sana Rais Magufuli alivyotembelea Malawi miezi mitatu iliyopita,na sasa Wamalawi wote wanataka Rais mwenye sifa za Rais John Magufuli katika uchaguzi wao ujao.

Mmalawi huyo ameniambia ni bora kuwa na Rais asiyependa pesa,yeye akipata pesa anajenga bwawa la Umeme,Madaraja,barabara,Viwanja vya ndege,kujenga viwanda,treni ya Umeme pamoja na kufufua mashirika yaliyokufa.

Mnamibia mmoja naye akanidokeza kuwa Rais wa Namibia alifurahi sana alipomuona Rais Magufuli ametua Namibia na alimtania kwa kumwambia sasa nakuachia Ikulu ya Namibia,nami nakwenda kukaa Ikulu ndogo.

Ahsante Rais Magufuli kwa kuwa mfano bora barani Afrika.
 
Mimi Mzimbabwe mmoja kaniambia alipokuwa huko aliwaudhi aliposema nchi yao inaenda kuzuri wakati inflation rate yao ni 98%.
 
Back
Top Bottom