Nyamtalakyono
JF-Expert Member
- Dec 17, 2015
- 795
- 479
Zamani HayakuwepoNapenda kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kuwapatia magari maafisa elimu wa mikoa. Hii ni hatua nzuri kwa maendeleo ya elimu yetu hapa Tanzania big up.
Ungeambatanisha na picha mkuu huenda ni Vimakonda ndio wamepewa..Napenda kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kuwapatia magari maafisa elimu wa mikoa. Hii ni hatua nzuri kwa maendeleo ya elimu yetu hapa Tanzania big up.
Ungeambatanisha na picha mkuu huenda ni Vimakonda ndio wamepewa..
Zamani Hayakuwepo
Kama Hayakuwepo Sawa SawaHawakuwa na magari. Tumethubutu na timeweza
Nchi hii tunamfumo mbovu wa elimu hata wakipewa helkopta matatizo yako palepale tunahitaji kuboresha maslahi kwa wafundishaji na kubadili mitaala yetu ya elimu. Mwalimu anasimamia masomo madarasa kama 4 hivi hapo atasahihisha na kuwakagua wanafunzi saa ngapi?Napenda kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kuwapatia magari maafisa elimu wa mikoa. Hii ni hatua nzuri kwa maendeleo ya elimu yetu hapa Tanzania big up.
Hata Roma haukujengwa siku moja.Nchi hii tunamfumo mbovu wa elimu hata wakipewa helkopta matatizo yako palepale tunahitaji kuboresha maslahi kwa wafundishaji na kubadili mitaala yetu ya elimu. Mwalimu anasimamia masomo madarasa kama 4 hivi hapo atasahihisha na kuwakagua wanafunzi saa ngapi?
Maafisa Elimu ndiyo wanaofundisha ? Badala yakuwapa motisha Walimu mnapeleka magari.Napenda kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kuwapatia magari maafisa elimu wa mikoa. Hii ni hatua nzuri kwa maendeleo ya elimu yetu hapa Tanzania big up.
Hata Roma haukujengwa siku moja.
Umenena mkuu,shule waalimu wa sayansi wawili tu form one hadi 4 unategemea mini?Nchi hii tunamfumo mbovu wa elimu hata wakipewa helkopta matatizo yako palepale tunahitaji kuboresha maslahi kwa wafundishaji na kubadili mitaala yetu ya elimu. Mwalimu anasimamia masomo madarasa kama 4 hivi hapo atasahihisha na kuwakagua wanafunzi saa ngapi?
Huyo mzimbabwe kakudanganya. Nipo hapa Ujiji Bar mjini Masvingo.Mimi Mzimbabwe mmoja kaniambia alipokuwa huko aliwaudhi aliposema nchi yao inaenda kuzuri wakati inflation rate yao ni 98%.
Huyo mzimbabwe kakudanganya.