Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Duh

Nimetukana mpaka wazungu kwenye train run hour hapa wamenipepea!

Jiwe vs Haki za Binadamu vs Demokrasia????

Niggaz are you serious?

Fvck outta here!
 
Mpakeni tu mafuta kwa mgongo wa chupa, siku tukidai iko wapi bunduki iliyomdhuru Lissu msije mkamkimbia!
 
Wana mwanza mje huku mumpokee ndugu yenu manake kajoin jana na kwesha tupia nyuzi mbili
 
Naunga mkono hoja
P
Hata mimi naunga mkono hoja kwenye haki za binadamu nikikumbuka matukio yake yanayoonyesha haki za binadamu zilitendeka na sirikali ilifanya jitihada za kuonyesha haki za binadamu zilitendeka:-

1.Kuuliwa kwa BEN SAANANE kwa kuhoji Phd ya UNCLE.
2.Kupigwa Risasi Tundu Lissu kwa sababu ya Usaliti baada ya ANKALI KUTREPU simu zake.
3.Kesi ya Erick Kabendera inavyoondeshwa hdi Ubalozi wa UK/USA walipongeza jinsi sirikali inavyotenda haki.
4.Kuuwawa kwa Azory Gwanda baada ya kutaka kutoa uchunguzi wa vifo MKIRU.
5.Ripoti ya kutekwa kwa Mo na Raphael zilionyesha Rafael alijiteka na MO kutekwa na Dereva wa TAX.
 
"Dr John pombe Magufuli ndiye Rais anayejali haki za binadamu kwa vitendo na mwanademokrasia mbobezi."

Hivi maana ya 'haki za binadamu' na 'demokrasia' ni "kuonea huruma watu"?
 
mtoa mada anapaswa kurudishwa darasani, kwake madaraja ndo demokrasia
 
huku kidodi hatujuwi train run hour... ndio nini mkuu?
wazungu wanakupepea... uko Ulaya?
too much mbwembwez dis year
Duh

Nimetukana mpaka wazungu kwenye train run hour hapa wamenipepea!

Jiwe vs Haki za Binadamu vs Demokrasia????

Niggaz are you serious?

Fvck outta here!
 
huku kidodi hatujuwi train run hour...

Utajuaje "train run hour" na uko kwenye shithole country ambapo watu wanakula funza ili waishi?

Do you know how much ironical you sound?

Mnajisifu mko Tanganyika mpya ya rehema na utukufu na wakati huo huo hakuna hata "train run hour"??

Hivi wewe ni ndondocha?
 
ulivyokuwa jinga ukaamini niko Kidodi na ukaanza kujamba mashuzi yako...

tumetembea sana duniani na sasa siko tz kima we....

ila acheni show off za kishamba na kudharau home....
english ya kuokota mwenyewe unajiona uko juu...

Ushamba shida
 
Ulikozaliwa unaitwa shithole country.... Haya girlfriend wa wazungu tukana kwenu.... hujakosea.... wakatikie kiuno na jisahaulishe kijijini kwenu....

Ukipata basha mzungu nawewe unakuwa mzungu
 
Ulikozaliwa unaitwa shithole country.... Haya girlfriend wa wazungu tukana kwenu.... hujakosea.... wakatikie kiuno na jisahaulishe kijijini kwenu....

Ukipata basha mzungu nawewe unakuwa mzungu
Nonsense!
 
Ulikozaliwa unaitwa shithole country.... Haya girlfriend wa wazungu tukana kwenu.... hujakosea.... wakatikie kiuno na jisahaulishe kijijini kwenu....

Ukipata basha mzungu nawewe unakuwa mzungu
Dogo sindanno imekuingia vizuri, kubali tu hata kama ni nyumbani ccm wamepafanya paonekane shithole
 
ulivyokuwa jinga ukaamini niko Kidodi na ukaanza kujamba mashuzi yako...

tumetembea sana duniani na sasa siko tz kima we....

ila acheni show off za kishamba na kudharau home....
english ya kuokota mwenyewe unajiona uko juu...

Ushamba shida
Unalia lia nini? unanililia mimi ni mama'ko?

Oohhh tuko kwenye uchumi wa kati!!

Pumbavu!
 
Huu ni uzi wa ajabu kabisa, sioni uhusiano kati ya HAKI ZA BINADAMU na yale yalio andikwa hapa. Labda mleta mada anipeleke shule. Nimeandika kuhusu mantiki ya uzi tu.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…