Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Rais JPM ana huruma sana na huruma yake imewagusa mamantilie nchi nzima, machinga nchi nzima, wakulima, bodaboda, na makundi mengine mengi wachache wanaolalamika ni vijana waliolelewa kwa kudekezwa wanaoamini kwenye miujiza ya kufanikiwa. Mheshimiwa atawasumbua sn maana wakiongeacho mitandaoni tofauti na uhalisia kwenye field
Duh
Nimetukana mpaka wazungu kwenye train run hour hapa wamenipepea!
Jiwe vs Haki za Binadamu vs Demokrasia????
Niggaz are you serious?
Fvck outta here!