Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Faq u
FAQ you
Hhhahahaa
Unajitia umepinda halafu una resort to one liners kama hivi???
Buaaaaaaaa!
And FAQ ni Frequent Asked Questions,if you dont know!
You Jiwe’s mistress!
F’outta here!
faq u
faq u
Maneno ya khanga.Tuma jina lako ,na teuzi unayopenda kufanya kazi box number 11 magogoni
Afu umesahau ambatanisha na number ya simu
Maneno ya khanga.
Kwa mfumo wa TZ ni ngumu kwa Rais anaegombea kipindi cha pili kushindwa! Inawezekana kushindwa kwenye uchaguzi kipindi cha kwanza lkn si anapotaka kurudi kwa mara ya Pili na hii sio kwa Magu yeyote atakaekuwa madarakani mpk mfumo utakapobadilishwa.Amekuwa mbunge zaidi ya miaka 20, lakini mara karibia zote alishinda uchaguzi kwa ghiliba. Kama aliweza kushinda kwa ghiliba mara zote hizo akiwa waziri, atashindwaje kushinda kwa ghiliba leo akiwa na madaraka yote ya kuamrisha tume ya uchaguzi na vyombo vya dola?
Kama hana hofu ya kushindwa mbona mna weka mazingira magumu ya uchaguzi ?!. Weka tume huru uone kama hawezi kushindwa .Ukiwafuatilia watu humu na maandiko yao hasa ya kumkosoa Magufuli ni sawa na maneno ya khanga.
Hivi unamwaminishaje Mwana kijijini wa kawaida tu eti Magufuli hajafanya chochote huko kijijini kwake ilhali anashudia majengo na miundombinu bora kabisa ya Vituo bora vya Afya!?
Hivi unamwaminishaje Mwananchi aliyezoea kwenda ofisi ya Serikali ya Kijiji kueleza shidaze na kuishia kuzungushwa na kutoonwa wa thamani ilhali leo wakati wa Magufuli huyo huyo aliyepata kutokuwa na thamani anasikilizwa na kuthaminiwa!?
Unamwaminishaje Mwananchi aliyezoea kutokukuta dawa katika Zahanati za Vijiji huku akishuhudia Mtumishi wa Afya akineemeka nazo kwa kuwauzia wenye maduka ya dawa ilhali kila uchwao wakati huu wa Magufuli dawa zi lukuki katika Zahanati!?
Mwananchi aliyefunzwa kujitegemea na Utawala huu atakueleweje wewe unayetaka ayarejelee maisha ya kugawiwa mahindi ya msaada!?
Mwananchi aliyefunzwa kufanya kazi kwa bidii na si kukaa kulewa na kupiga soga mtaani atakueleweje wewe unayetaka akae na apige soga mtaani akingojea msaada wa Serikali bure yeye kujishughulisha!?
Yapo mengi ya kusema!
Ndugu zangu Magufuli huyo si wakushindwa kwa maneno ya khanga na vijembe.
Magufuli huyo si wa kushindwa kwa eti watu waaminishwe kwamba mtu aliyepigwa risasi na wenziye kwamba aonewe huruma kwa dhanio la Yeye atakuwa kiongozi mzuri.
Magufuli huyo si wakushindwa kwa Wapinzaniye kuzunguka mitaa ya wazungu.
Jipangeni!Vinginevyo,hata Kitongoji hamtaambulia!
Boya kweli we nyumbu wa kijani plus kamongo mchanga.Ukiwafuatilia watu humu na maandiko yao hasa ya kumkosoa Magufuli ni sawa na maneno ya khanga.