Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

It squarely true Mr. Presenter! Only the stupid can underrate what JPM is doing for Tanzania and his people. Magufuli has been enthusiastic to take his first 5 years in office to do more than what has been done by his predecessors (except Nyerere who laid the foundation). The megaprojects has been initiated and completed others under construction like rufiji hydroelectric power, 12 lane roads connecting Dar and Pwani with speed buses, hundreds of thousands of roads interconnecting poor and marginalise areas, free education from primary to secondary schools joint_common revenue office at all boarders for countries bordering with Tanzania to remove stagnation long waiting queues barriers of in and out cargoes, etc. Magufuli will be remembered indeed for his ten tenure of his presidency. Thanks to all who sees and recognize what he is doing regardless whether you are a Tanzanian or not. God bless all those shouldering with him supporting him even by a mere comments and like here at JF
 
Well said mkuu 100% true.
 
Its squarely true that Magufuli has positioned himself ahead from his predecessors! Only the stupid can underrate what JPM is doing for Tanzania and his people. Magufuli has been enthusiastic to take his first 5 years in office to do more than what has been done by his predecessors (except Nyerere who laid the foundation). The megaprojects has been initiated and completed others under construction like rufiji hydroelectric power, 12 lane roads connecting Dar and Pwani with speed buses, hundreds of thousands of roads interconnecting poor and marginalise areas, free education from primary to secondary schools joint_common revenue office at all boarders for countries bordering with Tanzania to remove stagnation long waiting queues barriers of in and out cargoes, etc. Magufuli will be remembered indeed for his ten tenure of his presidency. Thanks to all who sees and recognize what he is doing regardless whether you are a Tanzanian or not. God bless all those shouldering with him supporting him even by a mere comments and like here at JF
 
Hakuna analifanya jiwe ambalo wengine wamefanya.
 
Naona umesifia Kibeberu, mimi nasifia Kikomunisti
давайте хвалить, потому что нет другой альтернативы
 
Naona umesifia Kibeberu, mimi nasifia Kikomunisti
давайте хвалить, потому что нет другой альтернативы
Hivi utamjuaJe mwingine, kama kila anayethubutu anawindwa na kuharibiwa future yake ?!. Je akimaliza muda wake ndiyo taifa litasimama ?!.
 
BOSI KAZI JOHN MAGUFULI AMEWEZA,TUMPE KUMI TENA.

Leo 13:15pm,06/10/2019.

Bosi kazi John Magufuli ameifanya Tanzania kuwa kama mahala tofauti na ilipokuwa miaka minne iliyopita,Novemba 2015 Bosi kazi John Magufuli alimrithi Jakaya Mrisho Kikwete kutoka chama kilekile cha CCM kilichoiongoza Tanzania tangu ilipopata uhuru wake mwaka 1961.

Leo nimepita katika barabara mbadala ya treni ya Umeme inayotengenezwa toka Dar hadi Kilosa,Mkoani Morogoro,barabara hiyo ambayo inawekwa lami inapita pembeni ya treni ya Umeme(sgr) itakuwa mbadala wa treni ya Umeme endapo kutatokea shida yoyote,hapa ndipo nilipoona akili kubwa ya Bosi kazi John Magufuli,

Bosi kazi John Magufuli ametujengea treni ya Umeme,na sio tu tumepata bwawa kubwa la Umeme la Rufiji (Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere) litalozalisha Umeme mwingi na kuendesha treni zetu za Umeme bali tutapata pia barabara safi kabisa ya lami pembeni ya reli ya treni ya Umeme toka Dar-Morogoro-Dodoma-Tabora-Shinyanga hadi Mwanza na hivyo hivyo toka Dar hadi Kigoma.

Hakika ni nadra sana kumpata Kiongozi kama huyu hasa kutokea CCM kwa namna ambavyo tumekuwa tukiona Viongozi wengi wa CCM wakiiba badala ya kutenda kabla ya ujio wa Mwenyekiti,Bosi kazi John Magufuli,kwa hakika Bosi kazi John Magufuli amekuwa akitenda kama vile alitokea upinzani kwa namna alivyopindua meza katika kutenda mambo mengi ya kimaendeleo na kuifanya Tanzania kuwa mfano bora katika bara la Afrika.

-Zambia na Malawi wanamtamani Bosi kazi John Magufuli.

Leo Afrika nzima inazizima kwamba yuko mwanaume ambaye ameweza kusema imetosha 'enough is enough' siyo haki na ni unyonyaji kuchukua madini yetu katika namna ambayo haki ya Mtanzania inapokwa.

Leo Wazambia na Wamalawi wanampongeza Bosi kazi John Magufuli kwa kuwashinda Criminals (Mabeberu) aka Investors,Wazambia wanatamani Rais Lungu awe kama Bosi kazi Magufuli.

Wamalawi wanasema ndani ya miezi tisa ijayo watamchagua Magufuli wao katika uchaguzi utakaokwenda kurudiwa baada ya ule wa kwanza kuvurugika,kama watashindwa kumpata Magufuli wao basi wataomba Bosi kazi John Magufuli awe anawatembelea mara kwa mara ili watakaempata ajifunze kwa ukaribu toka kwa Bosi kazi John Magufuli.

Bosi kazi John Magufuli ana amini sana katika sekta binafsi na hasa katika ujenzi wa uchumi wa viwanda sambamba na sekta ya umma. Lakini ana amini zaidi katika sekta binafsi inayojiendesha kwa kanuni za maadili ikiwemo kulipa kodi.

Bosi Kazi John Magufuli anaamini katika uwekezaji kutoka nje, lakini unaotambua kwamba sisi ni taifa huru na tunayo haki ya kunufaika kutokana na utajiri wa rasilimali zetu.

-Kenya wanamtamani Bosi kazi John Magufuli.

Katika mitandao ya kijamii John Magufuli amekuwa mtu anayeonekana kupendwa, si tu na Watanzania bali hata na wananchi wa nchi jirani kama Uganda na Kenya.

Mwaka 2017 kupitia maneno ama hashtag #WhatWouldMagufuliDo# watumiaji wa mitandao wamekuwa wakitumia ubunifu na ucheshi kuonyesha namna ambavyo Magufuli amewafanya watake kubana matumizi na kutumia mapato ya nchi kujenga mataifa yao.

Pamoja na hayo, baadhi ya raia wa Kenya wameelezea kutamani kuwa na Rais kama Magufuli, wakisema yeye angekuwa na uwezo mkubwa zaidi kupambana na matatizo kama rushwa kuliko Rais wao Uhuru Kenyatta.Wa

Wakenya hivi leo wanaumia baada ya kugundua reli yao ya Umeme imejengwa kwa pesa mara mbili ya reli ya Umeme inayojengwa Tanzania na bado reli ya Umeme inayojengwa Tanzania ikiwa na ubora maradufu huku wao wakiitia rehani bandari yao ya Mombasa kwa sababu ya deni kubwa la kujenga treni ya Umeme.

-Wazenji wanatamani Zanzibar iwe Mkoa chini ya Bosi kazi John Magufuli.

Baada ya barabara moja kuhairishwa ujenzi,mkandarasi akidai pesa na pesa zikishatolewa zikaishia katikati,Wazanzibari wengi wangependa wabadhirifu hao wakutane na mkono wa Bosi kazi John Magufuli.

Mambo mengi hayaendi inavyopaswa,Wazanzibari wanaamini wangeweza kuwa na maendeleo zaidi kama nguvu ya Bosi kazi John Magufuli ingeweza kuwafikia watumishi wa Zanzibar na kuamsha hali ya utendaji kazi kama inavyoonekana sasa kwa Watumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

-Kila Mtanzania anakiri Bosi kazi John Magufuli ameitendea haki Tanzania.

Miongoni mwa mambo ambayo Bosi kazi John Magufuli amefanikiwa ni kuwafanya watu wengi wamzungumzie kama Mzalendo na Mwanamageuzi.

Kila Mtanzania ana mtazamo fulani kuhusu Bosi kazi John Magufuli,kuhusu kuipeleka Tanzania katika uchumi wa kati,kuifanya Tanzania ya Viwanda na kuzalisha ajira kwa Watanzania, vita vyake dhidi ya rushwa na kumkomboa mnyonge,Vita vyake dhidi ya Mabeberu "Criminals" investors wenye nia ovu,vita vyake dhidi ya maharamia wanaiba rasilimali za Taifa.

Tuliona siku 100 za mwanzo za Urais wa Bosi kazi John Magufuli,hakusita kuwagusa wanasiasa wenzake hasa wale waliotumia nafasi zao Serikali kujinufaisha wao wenyewe,

Bosi kazi John Magufuli alifuta safari za "business class" na kupunguza idadi ya ujumbe wa kuhudhuria mikutano nje ya nchi. Pamoja na hayo alifuta sherehe za Uhuru Disemba 9 na badala yake kuwataka wananchi watumie siku hiyo kufanya usafi na kutumia pesa za Sherehe hiyo kujenga barabara.

-Uzalendo na Uwanamageuzi wa Bosi kazi John Magufuli umeanza kuigwa na watendaji wa chini yake.

Hapo mwanzo watumishi wa Serikalini na Viongozi waandamizi wa CCM walianza kuhofu na kupata shida kuendana na staili ya Uzalendo na uanamageuzi wa Bosi kazi John Magufuli,ambao amekuwa akiutumia katika utekelezaji wa majukumu yake,

Sasa Uzalendo na Uanamageuzi unaanza kujipenyeza kwa watumishi wa ngazi za chini katika wizara, mikoa na hata wilaya. Mawaziri na watendaji wa serikali za mikoa na wilaya wamekuwa wakimuiga rais kwa kutoa maamuzi ya papo kwa papo ya kizalendo,kimageuzi na Kimaendeleo,tunaliona hili katika ziara za Waziri Mkuu hasa ziara ya Mkoa wa Morogoro.

Miaka minne imeonyesha taswira ya rais mwanaharakati,Mwanamageuzi,Mpendamaendeleo ambaye ameweka maslahi yake pembeni katika kufanya kile anachoamini kuwa kizuri kwa taifa.

-Bosi kazi John Magufuli ameiondoa nchi katika hali ya Utepetevu na Mazoea.

Toka siku ya kwanza ya Urais wake, Bosi kazi John Magufuli amejitanabahisha kama mtu mwenye lengo la kuweka mambo sawa na kuiondoa nchi katika hali ya utepetevu na mazoea ya uvivu, na kwa hilo, amepata sifa nyingi nyumbani na hata nje ya nchi. Tofauti kabisa na watangulizi wake katika awamu nne zilizopita.

Bosi kazi John Magufuli amekuwa Rais wa kuitengeneza Tanzania zaidi, akikataa ziara zote za nje, ambazo mtangulizi wake alizipenda sana kiasi kwamba aligeuka shabaha ya mzaha wa waandishi wa tashtiti.

Ziara ya kwanza kabisaa ya Bosi kazi John Mgufuli nje ya nchi akiwa rais ilikuwa katika nchi jirani ya Rwanda, ambayo rais wake Paul Kagame alisifu msimamo imara wa Bosi kazi John Magufuli na kuutaja kama nguvu mpya katika muktadha wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na kuiunganisha Afrika kupambana na criminals (Mabeberu).

-Mnamuita Bulldozer,Jembe,Chuma,Mimi namuita Bosi kazi.

Kila mtu ndani na nje ya Tanzania anamuita Ndugu Daktari John Magufuli kwa jina alipendalo,wengine wanamwita "bulldozer" wengine wanamuita "jembe" wengine "Chuma" wengine Uncle lakini Mimi namuita "Bosi kazi" Na katika miaka minne ya kama rais,Ndugu John Magufuli ameonyesha kwanini amepewa majina hayo.

Ndugu John Magufuli amehakikisha kwamba taasisi zote za serikali zinafanya kazi kufuatana na sheria na katiba lakini pia kanuni na maadili na kunufaisha Watanzania kutoka kwenye utajiri wa rasilimali zetu.

Kwa hakika Bosi kazi John Magufuli amefanukiwa kushika hatamu katika Chama na Serikali akikonga nyoyo za Watanzania kwa utendaji kazi wake bora na uliotukuka.

Miaka minne ya Bosi kazi John Magufuli imetoa taswira ya maono yake katika uhalisia akiibadili Tanzania toka nchi ya laana na kuwa nchi ya Baraka sawa sawa na Mapenzi ya Mungu.

-Nikukumbushe tu Awamu ya tano ilivyoanza 2016.

Hostel za Chuo cha UDSM.
Hostel za Askari Magereza.
Ununuzi wa Ndege 2 (Nyingine 3 zikaja ndani ya Mwaka huo huo wa 2016).
Ujenzi wa Flyover Tazara na Ubungo
Upanuzi wa Airport Mwanza
Upanuzi barabara ya Moroco Dar es Salaam.
Upanuzi wa Kisasa Airport Dar
Kukomesha Rushwa
Kurejesha nidhamu Makazini.

-Na haya yalianza tarehe 12/4/2017;

Uzinduzi ujenzi wa reli kwa ajili ya treni ya Umeme.
Ujenzi wa barabara ya Mtwara-Tandahimba

Kukomesha Watumishi Wenye Feki hivyo kuokoa Mabilioni ya Fedha.

Barabara ya kuunganisha Wilaya za Kibondo kigoma Kaliua huko Tabora.

Miradi Mikubwa ya Maji :

Uwezeshaji Ujenzi Bomba la Mafuta kutoka Hoima mpaka Tanga.

Kwa kweli Awamu ya tano chini ya Rais wetu John Magufuli imefanya makubwa sanaa.
Kila upitapo sasa hivi ni ujenzi unaendelea...Dar es Salaam kila kona Barabara ya Tandale-Sinza- Mawasiliano barabara imejengwa,Mitaa ya Kinondoni hivi ina lami,Ubungo Interchange inajengwa
Madaraja yanajengwa

Upanuzi wa barabara kuu ya Ubungo hadi chalinze unafanywa

Daraja Kilombero miaka yote wapigaji walikuwa wanakula hela za wananchi kuwavusha ila sasa limejengwa

-Flyovers zinajengwa

Miradi ya umeme inajengwa na miradi mingi ni kwa hela za watanzania wenyewe.

Miaka yote maeneo ya Mbezi na kimara walikuwa hawapati maji japo yanapita njia hiyo hiyo lakini sasa maji yamefika mbezi, na bado wanaendelea kutandaza mabomba ili kupeleka maji.

Awali waliokuwa wanakula hela za wananchi ni wenye miradi ya kuuza maji kwa magari. Ila sasa wananchi wamekombolewa.

Utendaji kazi umeimarika, sasa hivi kila mmoja anaona cheo akipewa ni kama kakalia kaa la moto..Yale mambo ya kupiga hela na kukaa ofisini kupiga usingizi yameisha watu ni kazi la sivyo unawajibishwa.

Madawa sasa yanapatikana hospitali, ile hali ya madawa ya hospitali yanapelekwa katika Pharmas binafsi imeisha.

Hospitali sasa za serikali ukienda mgonjwa anajaliwa sio kama ilivyokuwa awali.

Taasisi za serikali wafanyakazi wamekuwa wanawajibika ....hakika nidhamu imeimarika.
Kwa sasa taasisi za serikali zinajiendesha kibiashara na si kihasara kama ilivyokuwa awali, ilikuwa ni ulaji tuu wa hela, upigaji dili, taasisi zinakufa, hakuna gawio kwa serikali, ila sasa zinatoa gawio...Hakika kila kitu ni usimamizi imara, ukicheka na kima utavuna mabua.

Awali watu walikuwa wanaulilia uongozi, hata wasio kuwa na elimu walikuwa wanagombea kupata uongozi, sasa uongozi umekuwa mgumu sababu kama wewe si muwajibikaji una ndoto za kupiga tuu, hupati nafasi, Uongozi umekuwa una hadhi kwa sasa.

Nimalizie kwa kusema,Bosi kazi John Magufuli ameitendea haki Tanzania na Watanzania kwa ujumla,Bosi kazi John Magufuli anastahili kupewa tena miaka kumi kuifanya Tanzania kuwa Taifa kubwa.

-Bosi kazi John Magufuli apewe tena miaka 10 ili tuwe kama China na Marekani.

China na Marekani viwe mfano kwetu,Wachina na Wamarekani walizingatia kwenda na maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.

Wamarekani walizingatia maamuzi sahihi na wakati wa sahihi wa Wamarekani kwenda na Raisi Roosevelt,maamuzi hayo sahihi ndiyi yaliyoifikisha leo hii Marekani ilipo(Super Power of the World).

Maamuzi sahihi na ya wakati sahihi ya wachina ya kwenda hadi basi na Raisi Mao Zedong ndiyo yaliyoifikisha China ilipo leo hii.

Na hivi sasa maamuzi sahihi na ya wakati sahihi ya Wachina ya kwenda hadi basi na Raisi Shing Jin Ping ndio yatakayoifanya China kuwa Super Power baada ya Marekani kutetereka.

Shime Watanzania tuamue kwenda hadi basi na Bosi kazi John Pombe Magufuli,kama ilivyoamua Marekani,Kama ilivyoamua China,ni kwa sababu moja tu kubwa kwamba, Viongozi wenye Kalama na udhati wa aina hii ni nadra sana kupatikana,

Utakumbuka Marekani toka walipompata Raisi Roosevelt hadi leo hawajabahatika tena, Utakumbuka pia China toka walivyompata Raisi Mao Ze Dong ndio wamekuja kumpata tena mwingine Raisi Shing Jin Ping baada ya miaka 50 kupita,

Tukija hapa Tanzania,utakumbuka na utashuhudia toka tulivyompta Rais Julius Nyerere baada ya miaka 40 ndio tumekuja kumpata Bosi kazi John Magufuli,

Nina imani kubwa Mwenyezi Mungu ameamua kusema nasi watanzania na kutuonyesha mifano ya China na Marekani,Shime Watanzania Tusifanye makosa, Tuamue sasa kwenda na Bosi kazi John Magufuli hadi basi atakaposema inatosha.

Mungu Mbariki Rais wetu,Bosi kazi John Magufuli,Mungu ibariki Tanzania.

Nikiishia hapa,Mimi ni,
Msemakweli Chakubanga.
Dar es Salaam.
0755078854.
 
Mabandiko kama haya, daima huwa siyasomi maana nina uhakika kwa 100% yamejaa propaganda, porojo na yana lengo ovu la kutaka kuifanya nchi yetu kuwa ya kidikteta kama ilivyo kwa Rwanda, Burundi, Uganda, nk. Mlaaniwe wote wenye hii nia yenu ovu.
 
Siku hizi nikiona unafiki Kama huu nabaki kuumia tu kwamba Kuna watu sampuli hii Tanzania 😒
 
Siku hizi nikiona unafiki Kama huu nabaki kuumia tu kwamba Kuna watu sampuli hii Tanzania 😒
 
Mwandishi hivi ungekuwa umesakiziwa kesi ya uhujumu uchumi au mpwa wako alipigwa risasi ungeweza kuandika haya?

Ngozi nyeusi asilimia kubwa ni ma selfish sidhani kama kunambingu watakuwepo huko Hata 10% (ubinafsi, ubinafsi, ubinafsi)
 
Well said Mkuu...
 
Leo umempongongeza rais kikwete na ukiwa katika ziara yako luala na kufanya Tanzania kuwa nchi ya kupokezana na ndioaana ulisikia shangwe

Wewe kujishusha na kusema ulikwa waziri uliyetumwa imeonesha kuwa wewe sio mpenda sifa na uko tayari kwa lolote

Mh rais kitendo cha wewe kusema kuwa waliokutangulia walifanya ya maaana kimekujengea hadhi na mpaka sasa kila rais aliyekutangulia anakupenda kuanzia mwinyi hadi kikwete Mungu akubariki

Kumkataa miradi mingi kuwa na jina lako japo umeianzisha ww ni kuonesha kuwa wewe ni MTU usiyependa sifa na zaidi bado unajina la kutukuzwa

Mungu akulinda
 
He is stabilizing
Anaanza kuenea na kutosha kwenye kiti
 
The presenter is very right! JPM has done the best. The results delivered by JPM efforts can be seen, measured and tested. For all people with good perspective can recognize fruits from JPM efforts. I have learned that there are three groups of people, each with its own perspective towards the results delivered by JPM: the first group is the one with people who can see and recognize the results, e.g. roadways railways, health services (facilities), education, airways, electrification (to mention few). These are the essential things for people and the country at large.

The first group of people recognize these important things. The second group is the people who can see the results and of course its importance, but they don’t want (intentionally) to recognize the results. These are usually politician (mainly from opposition parties), and they don’t want to recognize the effort just because of political matters. The third group is those people who cannot see (cannot identify) the results, although they are benefiting from them (results), e.g. getting medical services from health centers.

Politician (especially of opposition parties) usually take advantage of the third group by persuading the people with their policies before and during election campaign period. One can hear from them (politician) telling people by asking questions like; ‘’why did the president spend a lot of money buying airplanes while they (airplanes) cannot benefit the people from interior villages, who do not have access to the planes?’’ While the politicians asking this question, themselves (politicians) know exactly the benefits of those airplanes, but they cheat to these people (third group) for their personal interest (e.g. political power).

Now, it is time for people to be smart to analyze word by word spoken by politician as they can lead them to believe in politicians who tell lies. A person should only be selected due his/her capability and not by cheating to people!

Those airplanes are used in business, and not in luxury. The revenue collected from this business is distributed to various sectors e.g. infrastructure, health, education etc.

As an example, let us see how a person from interior village can benefit from our airplane business (in this case Air Tanzania Corporation Limited): A health care center is built in one interior village by some of the revenue obtained from airplane business, and medical practitioners and medicines have been supplied to this health center. Now, a person from this particular village is suffering from Malaria. This person (patient) is going to this nearby health center to get medical services. In arriving at the health center, a patient meets a medical practitioner. This practitioner, while smiling, is welcoming the patient to one of the confidential rooms, where the patient comfortably tell all the matters from which he/she is suffering. After hearing from the patient, a medical practitioner tells the patient ‘’oh, very sorry, but don’t worry, you will be cured’’, with that, a practitioner write some few words in a piece of paper and give it to the patient and telling him/her to go to the laboratory for test (because all the medical devices are there).

After sometimes, depending on the problem, the patient returns to the practitioner with a piece of paper. The practitioner looks on the paper and then takes some medicine and give it to the patient. The patient now is leaving the health care center and going home while smiling.

In the example above, we have seen a patient after being attended by a medical practitioner is going home while smiling. Why do you think a patient is smiling while he/she has not taken (swallowed) even a single tablet? Guess what. The person is smiling because she/he has received a good medical services. It has been said that, ‘’receiving good medical services is half cured’’.

May be people will ask why this man (I), has written all these concerning medical services while they are naturally known? I have written this to make clarification for those who believe that airplanes, trains, and the like do not have benefits to people who do not have direct access to them. Yes, it is true that some people do not have direct access to these transports but still benefit by getting services made by revenues from these (airplanes) businesses.

Another result of JPM effort is retaining discipline of the workers in different offices. Nowadays workers know what they are going to do in the office. Formerly, workers used an office as a place where they can invite and talk with friends, chat, make unnecessary calls, as a result the organization/companies were performing poorly. It can be remembered that, in his first days in the office, Mr president went to one of the government organizations during the work hours and found only one person in the office, others took a prolonged break time. But after this visit, the habit of taking a prolonged break time ceased. JPM is firing those who are misbehaving, poor performers including the leaders (I am happy with this), and putting others in the positions who he believes are capable.

Let us give him support in taking our country from dark and putting it on a shine place. Being in opposition party does not mean to resist or crush every thing from ruling part but rather working together for the sake of consolidating our government.

Viva JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…